Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DOGO JANJA SHULE NDIYO KILA KITU

Abdulaziz Chende 'Dogo Janja' kutoka Ngarenaro. ABDULAZIZ Chende ndilo jina lake halisi alilokuja nalo jijini Dar es Salaam akitokea Ngarenaro, kule mjini Arusha, lakini wajanja wa mjini wakambatiza kama Dogo Janja, ambalo kwa kweli limemkaa vyema. Ni bwana mdogo kweli, siyo tu kwa umri, bali hata sanaa aliyoichagua. Ni kijana ambaye kwa jinsi watoto wa Dot.com walivyo, alistahili kuwa kidato cha kwanza, pili au hata cha tatu....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Elimu ndiyo kila kitu, tusiogope kurudi shule

Ujasiriamali ni sifa ya asili aliyonayo kila mwanamke duniani. Lakini ili kuwa na tija hata ufanisi zaidi katika kazi hiyo, elimu ya darasani inahitajika.

 

11 years ago

CloudsFM

DOGO JANJA AFUNGUKA SABABU ZA KUACHA SHULE

Msanii wa Bongo Fleva,Dogo Janjaro ambaye aliwahi kuwa kwenye kundi la TipTop Connection baada ya kutofautiana na Madee hadi akafunguka kwenye media kuwa alikuwa ananyonywa,lakini sasa hivi amerudi tena kwenye kundi hilo na hivi karibuni alipafomu kwenye jukwaa la fiesta jijini Mwanza.
Msanii huyo mwaka juzi alikuwa anasoma katika shule fulani ya sekondari jijini Dar, lakini hivi karibuni pia alifunguka rasmi kuwa ameamua kuachana na masomo ya sekondari akiwa kidato cha pili kwa kile...

 

11 years ago

Bongo5

Audio: Hutaamini ukiisikia sababu iliyomfanya Dogo Janja aache shule!

Rapper kutoka Arusha, Dogo Janja ameamua kuacha shule ili kusomea masomo ya muziki. Akiongea na 255 ya kipindi cha XXL cha Clouds FM, Janjaro amedai kuwa usumbufualiokuwa akiupata shuleni ndio sababu kubwa iliyomfanya aache shule. “Shule ambayo mimi nimesoma nilikuwa napata matatizo kwasababu kitu kidogo ambacho mnaweza mkafanya wote lakini wewe ukaonekana chanzo. ‘Msanii mhuni, […]

 

9 years ago

Bongo5

Madee kumrudisha shule tena Dogo Janja? Jibu hili hapa

Madee amesema hajalitupilia mbali suala la kumrudisha Dogo Janja shule. Hata hivyo amesema anachoangalia kwa sasa ni ujio wa ngoma yake [Dogo Janja] mpya. “Sitaki kusema eti nimeamua kukauka moja kwa moja asirudi shule,” alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio wiki hii. “Vipo vingi ambavyo sasa hivi anaviongelea, ambavyo vipo kwenye plan, lakini […]

 

9 years ago

Mwananchi

Raqey : Familia ndiyo kila kitu kwangu

Sanaa ya Tanzania kwa namna moja ama nyingine inazidi kukuwa kadri miaka inavyozidi kwenda huku vipaji vingi vikiibuka. Japo ushindani mkubwa wa kazi bora bado hauonekani kutokana na kuwa ni wachache wameweza kuongeza ubunifu katika utendaji kazi.

 

11 years ago

GPL

MASOGANGE: MAKALIO YANGU NDIYO KILA KITU

Stori: Imelda Mtema
VIDEO QUEEN ‘grade one’ Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa hakuna kitu anakizimikia kwenye mwili wake kama makalio. Video Queen ‘grade one’ Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ asogange aliiambia Bongowood kuwa:“Hakuna sehemu ninayoipenda kama makalio, yamekaa vizuri, nayapenda, najidai kupitia sehemu hiyo niliyojaaliwa na Mwenyezi...

 

11 years ago

GPL

DOGO JANJA ABWATUKA, KISA MAPENZI

 Na Gladness Mallya MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ (19) amewataka watu wanaomsema vibaya kuhusu kuwa na uhusiano wa kimapenzi wamuache kwani anaonesha urijali wake. Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ (19). Akistorisha na paparazi wetu, Dogo Janja alisema tangu aliponaswa akiwa na demu wake amekuwa akisikia maneno ya kila aina...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dogo Janja arejea Tip Top Connection

KINDA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdulaziz Abubakari ‘Dogo Janja’ amerejea tena jijini Dar es Salaam katika kundi la Tip Top Connection baada ya kuwa mbali na kundi hilo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dogo Janja aanza kufanyia kazi Arusha

KINDA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdulaziz Abubakari ‘Dogo Janja’, amesema kwa sasa atakuwa anafanya kazi zake za muziki jijini Arusha kutokana na mashabiki wengi wa Dar es Salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani