Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DON JAZZY KUJA NA TAMASHA LA MAVIN RECORDS

Mkongwe wa muziki kutoka Naija na mkurugenzi wa Lebo ya Muziki ya MAvin, Don Jazzy. MKONGWE wa muziki kutoka Naija na mkurugenzi wa Lebo ya Muziki ya MAvin, Don Jazzy anatarajia kuja na tamasha bab’ kubwa la kusherehekea lebo yake, Desemba 23, mwaka huu. Akizungumza na vyombo vya habari Nigeria, Don Jazzy alisema wameamua kuandaa tamasha hilo kama shukurani kwa mashabiki wao ambao wamekuwa wakiwaonyesha sapoti tangu mwaka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Video: P-Square ft. Don Jazzy — Collabo

Mapacha wa P-Square wametoa video ya wimbo wao ‘Collabo’ waliyomshirikisha Don Jazzy. Video imefanyika Afrika Kusini na kuongozwa na Clarence Peters na Jude Okoye.

 

9 years ago

Bongo5

Videp: Tolu Ft. Don Jazzy — iFemi

Here’s the classic video to the stunning classic song iFemi by Tolu featuring Don Jazzy. Produced by BabyFresh, this is an amazingly beautiful song inspired by Tolu’s grandma. Here’s the video shot by Mex. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Timaya Ft Don Jazzy — I Concur

Wimbo mpya wa msanii kutoka Nigeria Timaya unaitwa “I Concur” amemshirikisha Mavin Dynasty/Mavin Records boss Don Jazzy. Upo hapa sikiliza. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: Timaya Feat. Don Jazzy — I Concur

Video mpya ya msanii Timaya Kutoka Nigeria hapa amemshirikisha Don Jazzy wimbo unaitwa “I Concur” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

GPL

D'BANJ AFURAHISHWA NA KOLABO YA DON JAZZY

Mwimbaji maarufu wa Nigeria, D’banj (kulia) na prodyuza Don Jazzy USEMI   kwamba ‘Sauti ya umma ni sauti ya Mungu’ umewaleta karibu mwimbaji maarufu wa Nigeria, D’banj na prodyuza Don Jazzy ili kukidhi hau ya mashabiki wao. Hapa itakumbukwa kwamba mwimbaji maarufu wa Nigeria, 2Face Idibia aliwahi kushikamana na  mshikaji wake, Don Jazzy, na kuwapa mashabiki wao bonge la wimbo wa...

 

9 years ago

Bongo5

Video: D’Prince Ft Don Jazzy , Baby Fresh – Bestie

d-prince

Video mpya ya msanii wa Marvins Records D’Prince amemshirikisha Don Jazzy na Baby Fresh wimbo unaitwa “Bestie”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

DON JAZZY AMWOMBEA TIWA SAVAGE AJIFUNGUE MAPEMA

Lagos, Nigeria BOSI na prodyuza wa kampuni la  Mavin Records,  Don Jazzy, amesema anategemea mwanamuziki  Tiwa Savage, ajifungue mapema ili aweze kuendeleza harakati za kampuni lake katika ‘kutengeneza fedha’. Don Baba J, kama prodyuza huyo anavyojulikana, na ambaye ni meneja wa Tiwa, aliandika kwenye mtandao wa Instagram kwa mwanamke huyo aliyevuma na wimbo wa ‘Eminado’ kwamba: “Mpenzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani