Dorice Mollel Foundation yasaidia yatima jijini dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-pQ33IrYYY8w/VXWnImfB6TI/AAAAAAAHdB4/TgBsRyunhzE/s72-c/unnamedccc.jpg)
Taasisi ya Dorice Mollel Foundation chini mshindi wa nne wa Miss Tanzania 2014/15, Dorice Mollel (kulia) akiwa pamoja na watoto wanaolelewa kwenye kituo cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza Mori, Jijini Dar es salaam.Dorice Mollel Foundation kwa kushirikiana na Rehema Solidarity Trust iliyo chini ya Ubalozi wa Uturuki walitoa msaada wa vitabu vya dini kwa kituo hicho pamoja na vingine viwili ili kuwawezesha watoto hao kujengwa katika maadili mema ya kiimani.anaeonekana mbele kushoto ni Mlezi Mkuu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-asfai_xbig8/VQw8yi_MFtI/AAAAAAAHLrc/tYNadzLI4Ac/s72-c/DSC_0289.jpg)
Doris Mollel Foundation yazinduliwa jijini Dar
Hayo ameyasema, Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Mohamed Thabit Kombo wakati wa kutambulisha Mfuko wa Doris Mollel ambao utajihusisha katika kusaidia upatikanaji wa vitendea kazi vya hospitali kwa watoto wanaozaliwa njiti iliyofanyika katika ukumbi wa Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.amesema atatoa...
10 years ago
Dewji Blog14 Aug
Miss Ilala 2013 Dorice Mollel atembelea kampuni ya RIELA Ujerumani
Bw. Karl Heinz Knoop akielezea historia fupi kuhusu kampuni yake kwa wanafunzi wa Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere akiwemo Miss Ilala 2013 Dorice Mollel wanaoshiriki program ya mwezi mmoja nchini Ujerumani.
Miss Ilala 2013 Dorice Mollel (kushoto pichani) akiwa kwenye program ya mwezi mmoja, na wenzake 8 kutoka Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere ambapo wamepata nafasi ya kwenda kutembelea Kiwanda cha Kilimo kilichoanzishwa mwaka 1972 ambacho kinamilikiwa na Bw. Karl Heinz Knoop ,...
10 years ago
Dewji Blog18 Aug
Miss Kanda ya Kati Dorice Mollel akutana na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani
Miss Kanda ya Kati Dorice Mollel katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe Philip Marmo nje jengo la ubalozi wa Tanzania jijini Berlin alipotembelea ubalozi huu akiwa kwenye program ya mwezi mmoja, na wenzake 8 (hawapo pichani) kutoka Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere.
Baada ya kutembelea ofisi za ubalozi wa Tanzania jijini Berlin, Mhe. Marmo aliwaelezea historia ya ushirikiano baina ya Ujerumani na Tanzania ambapo nchi hiyo imekuwa miongoni mwa wadau wa maendeleo...
10 years ago
Dewji Blog04 Jan
Miss Singida 2014 Dorice Mollel atoa msaada wa vifaa tiba kwa wodi ya watoto njiti
Miss Singida 2014 Dorice Mollel akizungumza muda mfupi kabla ya kukabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 1.2 milioni kwenye wodi ya watoto njiti ya hospitali ya mkoa mjini Singida. Miss Singida huyo ambaye mwaka jana alikuwa pia mshindi wa kwanza Miss kanda ya kati na kushika nafasi ya tatu katika shindano la kumsaka Miss Tanzania, amesema ametoa msaada huo kwa sababu na yeye alizaliwa mapacha njiti.
Na Nathaniel Limu, Singida
JUMLA ya watoto 284 hadi 300, huzaliwa kila...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/01/DSC03176.jpg)
MISS SINGIDA 2014 DORICE MOLLEL ATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WODI YA WATOTO NJITI
10 years ago
Michuzi14 Aug
MISS ILALA 2013 DORICE MOLLEL ATEMBELEA KAMPUNI YA KUTENGENEZA UMEME WA GESI NA KUTUNZA MAZAO RIELA NCHINI UJERUMANI
![photo](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/photo.jpg)
Miss Ilala 2013 Dorice Mollel (kushoto pichani) akiwa kwenye program ya mwezi mmoja, na wenzake 8 kutoka Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere ambapo wamepata nafasi ya kwenda kutembelea Kiwanda cha Kilimo kilichoanzishwa mwaka 1972 ambacho kinamilikiwa na Bw. Karl Heinz Knoop...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-EjX2Lbn-vY4/Vn_SzBKsdgI/AAAAAAAIO5A/h3qKNedYfXk/s72-c/6fe82581-fe55-444e-938a-d9e9739c497f.jpg)
VODACOM FOUNDATION YAWAKUMBUKA WAZEE WA BUKUMBI NA WATOTO YATIMA WA VILLAGE OF HOPE JIJINI MWANZA
![](http://2.bp.blogspot.com/-EjX2Lbn-vY4/Vn_SzBKsdgI/AAAAAAAIO5A/h3qKNedYfXk/s640/6fe82581-fe55-444e-938a-d9e9739c497f.jpg)
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/photo.jpg?width=650)
MISS ILALA 2013 DORICE MOLLEL ATEMBELEA KAMPUNI YA KUTENGENEZA UMEME WA GESI NA KUTUNZA MAZAO RIELA NCHINI UJERUMANI
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-dw_PauBelXI/XvdEAZMR7kI/AAAAAAAC8jA/JYe4WGrVv3IlZ9ZKG4plEIK7H5avORfpACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT. MOLLEL ATEMBELEA BOHARI KUU YA DAWA (MSD) JIJINI DAR ES SALAAM
![](https://1.bp.blogspot.com/-dw_PauBelXI/XvdEAZMR7kI/AAAAAAAC8jA/JYe4WGrVv3IlZ9ZKG4plEIK7H5avORfpACLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
Akizungumza na viongozi wa Bohari ya Dawa Jijini Dar es Salaam Dkt Mollel amesema lengo la kutembelea taasisi hiyo ni kuangalia maboresho katika uagizaji, utunzaji na usambazaji wa dawa vifaa tiba na vitendanishi vya maabara ili kuboresha huduma ya...