DOSARI SERIKALI ZA MITAA
Wakurugenzi sita wafukuzwa kazi
Wabainika kuzembea na kuvuruga uchaguziGhasia: Serikali ilitimiza wajibu wake, sijiuzuluCHADEMA yazidi kuweweseka na matokeo
WALIOTIMULIWA KAZI
Benjamin Majoya- Mkuranga
Abdalla Ngodu- Kaliua
Masalu Mayaya- Kasulu
Goody Pamba- Serengeti
Juliua Madiga -Sengerema
Simon Mayeye- Bunda
WALIOSIMAMISHWA KAZI
Felix Mabula- Hanang
Fortunatus Fwema- Mbulu
Isabella Chilumba- Ulanga
Pendo Malabeja- Kwimba
William Shimwela- Sumbawanga
WALIOPEWA ONYO
Mohamed Maje- Rombo
Hamis Yuna...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014


10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
Serikali ondoe dosari hizi
UCHAGUZI wa Serikali za Mtaa kwa upande wa Tanzania Bara unatarajiwe kufanyika Disemba 14 mwaka huu. Kabla ya tarehe ya kufanyika uchaguzi huu, yalikuwapo maneno mengi kutoka katika makundi mbalimbali...
10 years ago
Michuzi
Bunge laridhishwa na utendaji wa serikali, lapitisha taarifa za za Kamati ya Bajeti, Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Hesabu za Serikali (PAC), Miundombinu na Nishati na Madini.
10 years ago
StarTV16 Dec
Uchaguzi serikali za mitaa, Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Na, Winifrida Ndunguru
Dar Es Salaam.
15 December 2014
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Serikali imekiri kuwepo kwa kasoro luluki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika nchini kote Jumapili wiki hii likiwemo suala zima la mkanganyiko wa jina la mgombea kuonekana katika chama kingine.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Hawa Ghasia, amesema kutokana na kasoro hizo ameitaka mikoa...
10 years ago
Michuzi
SERIKALI YAWASIMAMISHA WAKURUGENZI WALIOSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI leo imetangaza kuwasimamisha kazi Wakurugenzi watano (5) huku wengine wakipewa onyo kali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Akithibitisha kusimamishwa kazi kwa Wakurugenzi hao,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh. Hawa Ghasia amesema kwamba Wakurugenzi hao wametenda makosa yanayowaondolea sifa za kuwa Wakurugenzi.
“Makosa yafuatayo ndio yanayopelekea Wakurugenzi hawa kusimamishwa;Kuchelewa kuandaa vifaa vya...
10 years ago
Michuzi
SERIKALI KULIPA MADENI YA WATUMISHI WA SERIKALI ZA MITAA.

11 years ago
Mwananchi15 Oct
Historia ya Serikali za Mitaa- 3
11 years ago
Mwananchi30 Sep
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa walalamikiwa
11 years ago
Habarileo14 Sep
Uchaguzi serikali za mitaa Des 14
KIPENGA cha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kinatarajiwa kupulizwa Novemba 30 mwaka huu na uchaguzi kufanyika Desemba 14 chini ya sheria zilizopo.