Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dotto: Nimejenga, nasomesha kwa kazi ya kukaanga samaki Feri

>Ni eneo ambalo limetanda moshi mzito ukiambatana na moshi wa sigara, kutoka kwa baadhi ya wanaofanya kazi kwenye eneo hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

ENEO LA LEBANON KATIKA SOKO LA KIMATAIFA LA SAMAKI LA FERI JIJINI DAR NI HATARI KWA UCHUMI.

Mwenyekiti wa Kamati ya Soko la Samaki la Kimataifa la Feri, Ali Kibwana, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi wanaotembelea masoko mbalimbali ya Manispaa ya Ilala kuona jinsi gani vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia umepungua katika soko hilo baada ya Shirika la Equality for Growth (EfG) kutoa mafunzo ya kupinga ukatili katika masoko hayo. Kushoto ni Mwezeshaji wa Sheria katika soko hilo, Bakari Said.
Mama Lishe wa soko hilo, Taus Barnabas, akichangia neno katika...

 

9 years ago

Dewji Blog

Eneo la Lebanon katika Soko la Kimataifa la Samaki la Feri Jijini Dar ni Hatari kwa Uchumi, Ikulu

Mwenyekiti wa Kamati ya Soko la Samaki la Kimataifa la Feri, Ali Kibwana, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi wanaotembelea masoko mbalimbali ya Manispaa ya Ilala kuona jinsi gani vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia umepungua katika soko hilo baada ya Shirika la Equality for Growth (EfG) kutoa mafunzo ya kupinga ukatili katika masoko hayo. Kushoto ni Mwezeshaji wa Sheria katika soko hilo, Bakari Said.

Mwezeshaji wa Sheria katika soko hilo, Bakari Said akizungumza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MWANAHAMISI LIMAMU : Nasomesha wadogo zangu kwa biashara ya saluni

DHANA ya ujasiriamali inamuwezesha mtu kujishughulisha na kuthubutu kufanya biashara ili kujiingizia kipato cha kila siku na kuendesha maisha yake ili mradi tu uwe na ubunifu. Kutokana na ubunifu huo,...

 

10 years ago

Michuzi

SAMAKI SAMAKI KUCHANGIA ELIMU KWA WATOTO YATIMA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Mgahawa wa Samaki Samaki umeanzisha mpango wa kuchangia Elimu kwa watoto yatima kwa kila mtu atakayekula katika migahawa ya samaki samaki itatolewa sh.1000 kwa bei halisi na sio kukatwa mteja.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ,Afisa Mkuu wa Masoko wa Samaki Samaki,Edward Lusala amesema Samaki Samaki imefikisha miaka nane tangu kuanza kwake na wameona kuna umuhimu wa kuchangia katika kundi la watoto yatima.
Amesema kuwa wanawafundisha...

 

9 years ago

Dewji Blog

TPB yasafisha soko la Feri, yatoa vifaa vya usafi, ni katika kuunga mkono uamuzi wa Rais Magufuli wa Uhuru ni kazi

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Henry Bwogi, akizibua chemba ya kupitisha maji taka kwenye zoni 3 ya soko la samaki la kimataifa Feri jijini Dar es Salaam Desemba 9, 2015. TPB imeungana na watanzania katika kuunga mkono agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwataka wananchi kusherehekea sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika kwa kufanya usafi ili kutekeleza zana ya “Uhuru ni Kazi” badala ya kufanya sherehe na matamasha huku nchi ikakabiliwa na ugonjwa wa...

 

9 years ago

Habarileo

Lebanon ya Feri ni hatari kwa wafanyabiashara

ENEO la Lebanon katika Soko la Kimataifa la Samaki la Feri ambalo lipo jirani na Ikulu jijini Dar es Salaam limedaiwa kuwa ni hatari kwa wafanyabiashara wa soko hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miaka 50 ya Muungano yawa shubiri kwa wafanyabiashara Feri

“SHEREHE za  miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar   eti zitufanye tuondoke Feri, hatukubaliani na hilo. “Kuna mahusiano gani kati ya shughuli zetu za ukaangaji wa samaki ambao tumeufanya...

 

11 years ago

GPL

KUZAMA KWA FERI, WAZIRI MKUU KOREA KUSINI AJIUZULU

Feri ya Sewol ilipokuwa ikizama. Waziri Mkuu nchini Korea Kusini, Chung Hong Won aliyejiuzulu.
WAZIRI Mkuu nchini Korea Kusini, Chung Hong Won amejiuzulu kutokana na vile serikali yake ilivyolichukulia suala la feri iliyozama siku 11 zilizopita. Chung Hong Won amesema kuwa kubaki ofisini ni mzigo…

 

9 years ago

Michuzi

KAPUMZIKE KWA AMANI MPAMBANAJI MWENZETU DOTTO MZAVA.


BLOGGER chipukizi nchini Dotto Mzava, amefariki Dunia katika ajali ya barabarani Desemba 14, 2015 hapa jijini Dar es Salaam. 
Kwa mujibu wa taarifa ya Mwenyekiti wa Mtandao wa Bloggers Nchini, (TBN), ambao marehemu alikuwa ni mwanachama wake, Bw. Joackim Mushi amesema Dotto ambaye alikuwa akifanyia kazi Jamii Media (Wamiliki wa mtandao wa Jamii Forum, amefariki kwa ajali ya pikipiki ingawa haikuelezwa ajali hiyo imetokea maeneo gani hasa ya jiji la Dar es Salaam. 
Bwana ametoa na Bwana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani