KAPUMZIKE KWA AMANI MPAMBANAJI MWENZETU DOTTO MZAVA.

BLOGGER chipukizi nchini Dotto Mzava, amefariki Dunia katika ajali ya barabarani Desemba 14, 2015 hapa jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa ya Mwenyekiti wa Mtandao wa Bloggers Nchini, (TBN), ambao marehemu alikuwa ni mwanachama wake, Bw. Joackim Mushi amesema Dotto ambaye alikuwa akifanyia kazi Jamii Media (Wamiliki wa mtandao wa Jamii Forum, amefariki kwa ajali ya pikipiki ingawa haikuelezwa ajali hiyo imetokea maeneo gani hasa ya jiji la Dar es Salaam.
Bwana ametoa na Bwana...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Mwili wa Dotto Mzava wa JF wasafirishwa kwenda Same kwa mazishi
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Jamii Forum, Dotto Mzava likishushwa kwenye gari maalum mara baada ya kuwasili katika Kanisa la Wasabato Manzese Uzuri jijini Dar kwa ajili ya sala ya kabla ya kusafirishwa kuelekea Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro leo.
Mchungaji wa Kanisa la Adventist Wasabato akiendelea na ibada wakati wa ibada ya kumuombea marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Same, Kilimanjaro.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jamii Media, Maxence Mello...
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Mwili wa marehemu Dotto Mzava wa Jamii Forums wasafirishwa jana kuelekea Same Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dotto Mzava likishushwa Kwenye gari maalum mara baada ya kuwasili katika kanisa la Wasabato Manzese uzuri kwaajili ya sala ya kuombea kabla ya Mwili kusafirishwa kuelekea Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro.
Mchungaji wa kanisa la Adventist wasabato akiendelea na ibada wakati wa ibada ya kumuombea marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea Same Kilimanjaro.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jamii Media Maxence Mello akitoa historia fupi ya Marehemu Dotto...
9 years ago
MichuziMwili wa marehemu Dotto Mzava wa Jamii Forums wasafirishwa kuelekea Same Kilimanjaro kwaajili ya mazishi
Heshima za mwisho zikiendelea kutolewa kwa mwili wa marehemu Dotto Mzava kabla haujasafirishwa kuelekea Same Kilimanjaro kwaajili ya mazishi
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Dotto: Nimejenga, nasomesha kwa kazi ya kukaanga samaki Feri
10 years ago
Mwananchi10 Jun
Tumwache Mwalimu apumzike kwa amani amani
10 years ago
GPLMAENDELEO YA MSIBA WA MAMA KULWA, DOTTO NA NICO MWAIBALE JIJINI DAR, KUSAFIRISHWA KESHO KWENDA MBEYA KWA MAZISHI
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Seretse Khama, mpambanaji aliyevunja minyororo ya ubaguzi
10 years ago
Mwananchi19 Aug
MCHANGO WA MAWAZO: Lowassa ni mfamaji au mpambanaji asiyechoka?
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
USU MALLYA: Mpambanaji anayekerwa na mifumo kandamizi
USU Mallya akiwa anazungumzia mada yoyote juu ya jinsia na ukombozi wa mwanamke kimapinduzi, hawezi kuongea maneno matano bila kutaja muktadha na mifumo. Huyu ndie mwanamama ninayemzungumzia leo katika safu...