Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DPP awarudisha kizimbani ‘Wafungwa wa Magufuli’

Wafungwa wawili raia China waliokuwa wakitumikia kifungo cha miaka 20 kwa kosa la uvuvi haramu katika Ukanda wa Kiuchumi wa Bahari ya Tanzania (Exclussive Economic Zone- EEZ), maarufu kama wafungwa wa Samaki wa Magufuli, wamefunguliwa upya mashtaka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Rais Magufuli awapa majukumu CAG, DPP

Dk.-John-P-J-MagufuliNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS Dk. John Magufuli kwa nyakati tofauti jana, alikutana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga na kuwapa majukumu yatakayokwenda na kasi ya  Hapa Kazi Tu.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Kaimu Mkurungenzi wa Mawasiliano Ikulu, Greson Msigwa, ilisema Rais Dk. Magufuli amemwagiza Profesa Assad  kuona njia sahihi ambayo itasaidia kupunguza gharama za...

 

9 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO, NI MUFT, GAC, BULEMBO NA DPP.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Profesa Mussa Juma Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Profesa Mussa Juma Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Mufti Mkuu wa...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI APONGEZWA KUTOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA, INASAIDIA KUZUIA MAAMBUKIZI YA CORONA

Na Mbaraka Kambona, Dodoma
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) amesema uamuzi wa kuwasamehe wafungwa 3973 uliofanywa na Rais Dk. John Magufuli (pichani) ni hatua muhimu katika kudhibiti kusambaa kwa maambukizi  ya  maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona.

Jaji Mwaimu aliyasema hayo leo Mei 7, 2020 Ofisini kwake jijini Dodoma alipokuwa akitoa mtazamo wake juu ya jitihada za Serikali za kudhibiti kuenea kwa maradhi hatari ya Korona. 

Alieleza   kuwa msamaha huo ni...

 

11 years ago

GPL

Loga awarudisha Boban, Kisiga Simba

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, Sweetbert Lukonge na Nassor Gallu
SIMBA ipo katika hatua za mwisho kuwasainisha mikataba mifupi viungo wakongwe nchini, Haruna Moshi ‘Boban’ na Shabani Kisiga ‘Maron’. Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amesema anataka viungo wawili wazoefu na si wale ambao wanataka kujifunza.Loga, raia wa Croatia, amesisitiza anataka wachezaji wa kazi ambao watamsaidia...

 

9 years ago

Global Publishers

Mtoto awarudisha Amber Rose na Wiz Khalifa

wiz-khalifa-amber-rose-divorce-gty-ftr Wiz Khalifa akiwa na aliyekuwa mpenzi wake, Amber Rose.

INAWEZEKANA! Staa wa Hip Hop, Wiz Khalifa pamoja na aliyekuwa mpenzi wake, Amber Rose hivi karibuni walijikuta wakila Sikukuu ya Krismasi kwa pamoja huku sababu kubwa ya kurudiana ikitajwa kuwa ni mtoto wao, Sebastian (4).

Photos-Amber-Rose-et-Wiz-Khalifa-aux-anges-avec-Sebastian-c-est-reparti-pour-un-tour_portrait_w674Chanzo kilicho karibu na mastaa hao, kinaanika ubuyu kuwa, wawili hao tangu watengane Septemba 2014 kila mmoja amekuwa akila bata kivyake lakini uthibitisho tosha ulijidhihirisha hivi karibuni baada ya Amber kuweka...

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Peter Odemwingie awarudisha Bosnia kwao

>Bao la Peter Odemwingie limeipa ushindi wa kwanza Nigeria katika Fainali za Kombe la Dunia na kuifungashia virago Bosnia-Hercegovina kutoka katika Kundi F.

 

5 years ago

Michuzi

KHERI JAMES AWARUDISHA KWENYE MAJUKUMU YAO VIJANA SITA WALIOKUA WAMESIMAMISHWA UONGOZI UVCCM

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Kheri James ametangaza kuwarejesha katika majukumu yao ya uongozi vijana sita waliosimamishwa uongozi Ili kupisha uchunguzi dhidi ya tuhuma za kupokea na kutoa Rushwa zilizokuwa zinawakabili.

Kheri amesema iamuzi huo umefikiwa baada ya Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (ZAECA) iliyopewa jukumu la kuchunguza tuhuma dhidi yao kuonyesha kuwa vijana hao hawakuhusika katika tuhuma hizo.

Akizungumza na leo jijini Dodoma,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani