DSTV yazindua huduma ya kukodisha filamu iitwayo Box Office
![](http://3.bp.blogspot.com/-BpzgpJx5uMM/VVyghFkdlOI/AAAAAAAHYjw/XJgVPcEFME0/s72-c/unnamed.jpg)
Meneja Uendeshaji wa MultiChoice Tanzania, Ronald Baraka Shelukindo akizungumza machache wakati wa uzinduzi wa huduma ya kukodisha filamu iitwayo Box Office iliopo kwenye Dekoda ya Explora PVR, uliofanyika leo kwenye hoteli ya New Afrika, jijini Dar es salaam.
MultiChoice inapenda kuwatangazia wateja wa DStv kwamba, imezindua rasmi huduma ya kukodisha filamu ya Box Office leo tarehe 20 Mei 2015.
• Box Office ni huduma inayokuwezesha kukodisha na kuangalia filamu mpya ( Hazionyeshwi kwenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboDSTV TANZANIA YAZINDUA RASMI HUDUMA KUKODISHA FILAMU YA BOX OFFICE
10 years ago
Dewji Blog20 May
DStv yazindua huduma ya kukodisha filamu kwenye dikoda
Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo (kushoto) akionesha dikoda ya Explora wakati wa uzinduzi rasmi uliofanyika leo Mei 20, jijini Dar es Salaam kwa wandishi wa habari (Hawapo pichani). Kulia kwake ni Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi. Picha na Andrew Chale wa modewjiblog)
Na Andrew Chale, Modewji blog
MultiChoice imezindua rasmi huduma ya kukodisha filamu BOX OFFICE, kupitia wateja wao wa DStv popote walipo nchini
Box Office ni huduma...
10 years ago
Dewji Blog27 Oct
Msanii Lulu aitambulisha filamu yake mpya iitwayo Mapenzi ya Mungu, filamu yaingia sokoni leo
Msanii wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa alipokuwa akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU ambayo amewashirikisha Flora Mtegoha au Mama Kanumba na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Linah Sanga.
Msanii Wa Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU leo mbele ya wanahabari (hawapo pichani).,Kulia ni Mmoja kati wa...
10 years ago
VijimamboMSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO
10 years ago
GPLMSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO
5 years ago
RFI25 Feb
'Sonic' again tops N. American box office
5 years ago
Forbes15 Mar
Box Office: ‘Bloodshot’ And ‘Hunt’ Bomb As ‘Believe’ Opens With $9.5M
5 years ago
RFI24 Feb
'Sonic' outpaces its rivals to again top N.America box office