DSTV TANZANIA YAZINDUA RASMI HUDUMA KUKODISHA FILAMU YA BOX OFFICE
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania Barbara Kambogi akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa huduma mpya ya DStv ya kukodisha filamu yaani Box Office iliyofanyika leo kwenye hotel ya New Afrika jijini Dar, kushoto ni Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo.
Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya kukodisha filamu Box Office leo jijini...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-BpzgpJx5uMM/VVyghFkdlOI/AAAAAAAHYjw/XJgVPcEFME0/s72-c/unnamed.jpg)
DSTV yazindua huduma ya kukodisha filamu iitwayo Box Office
![](http://3.bp.blogspot.com/-BpzgpJx5uMM/VVyghFkdlOI/AAAAAAAHYjw/XJgVPcEFME0/s640/unnamed.jpg)
MultiChoice inapenda kuwatangazia wateja wa DStv kwamba, imezindua rasmi huduma ya kukodisha filamu ya Box Office leo tarehe 20 Mei 2015.
• Box Office ni huduma inayokuwezesha kukodisha na kuangalia filamu mpya ( Hazionyeshwi kwenye...
10 years ago
Dewji Blog20 May
DStv yazindua huduma ya kukodisha filamu kwenye dikoda
Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo (kushoto) akionesha dikoda ya Explora wakati wa uzinduzi rasmi uliofanyika leo Mei 20, jijini Dar es Salaam kwa wandishi wa habari (Hawapo pichani). Kulia kwake ni Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi. Picha na Andrew Chale wa modewjiblog)
Na Andrew Chale, Modewji blog
MultiChoice imezindua rasmi huduma ya kukodisha filamu BOX OFFICE, kupitia wateja wao wa DStv popote walipo nchini
Box Office ni huduma...
10 years ago
MichuziECOBANK TANZANIA YAZINDUA RASMI WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9LsGHPviNbs/VVyIVpv_HwI/AAAAAAAHYhw/2QE1KpB51PA/s72-c/unnamed%2B%252825%2529.jpg)
News alert: MultiChoice officially launches Box Office in Tanzania today!
![](http://2.bp.blogspot.com/-9LsGHPviNbs/VVyIVpv_HwI/AAAAAAAHYhw/2QE1KpB51PA/s640/unnamed%2B%252825%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
DSTV Tanzania yazindua kifurushi kipya
Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo (kulia), akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa kifurushi kipya cha DSTV Bomba.(katikati), Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania Barbara Kambogi, na kushoto ni Meneja Masoko wa Multichoice, Furaha Samalu.
Na Mwandishi wetu
KAMPUNI ya Multichoice Tanzania kupitia huduma ya DSTV imewataka wasanii kupeleka kazi zao ili waweze kutambulika nje na ndani ya nchi.
Kauli hiyo imetolewa Dar es Salaam leo na Meneja Masoko...
5 years ago
RFI25 Feb
'Sonic' again tops N. American box office
10 years ago
Dewji Blog26 Jun
TPB yazindua huduma malaamu ya akaunti kwa vikundi visivyo rasmi
![](http://1.bp.blogspot.com/-LFWbhvcRazU/VYuYO3536SI/AAAAAAAAVTQ/TODV9fFu78g/s640/NEC_TPB.jpg)
Katika jitihada za kuwafikia Watanzania mbalimbali Benki ya Posta Tanzania (TPB) imezindua akaunti maalum kwa ajili ya Vikundi Visivyo Rasmi.
Uzinduzi huo ulifanywa na Katibu Mtendaji wa Shirika la Uwezeshaji Tanzania, Beng’I Issa katika viwanja vya Shule ya Msingi Osterbay, Dar es...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LFWbhvcRazU/VYuYO3536SI/AAAAAAAAVTQ/TODV9fFu78g/s72-c/NEC_TPB.jpg)
TPB YAZINDUA HUDUMA MAALUMU YA AKAUNTI KWA VIKUNDI VISIVYO RASMI
![](http://1.bp.blogspot.com/-LFWbhvcRazU/VYuYO3536SI/AAAAAAAAVTQ/TODV9fFu78g/s640/NEC_TPB.jpg)
KATIKA jitihada za kuwafikia Watanzania mbalimbali Benki ya Posta Tanzania (TPB) imezindua akaunti maalum kwa ajili ya Vikundi Visivyo Rasmi. Uzinduzi huo ulifanywa na Katibu Mtendaji wa Shirika la Uwezeshaji Tanzania, Beng’I Issa katika viwanja vya Shule ya Msingi Osterbay, Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa...