TPB YAZINDUA HUDUMA MAALUMU YA AKAUNTI KWA VIKUNDI VISIVYO RASMI

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, (NEC), Beng’I Issa, (kushoto), akikata utepe kuzindua huduma maalum ya akaunti ya vikundi visivyo rasmi, jana.
KATIKA jitihada za kuwafikia Watanzania mbalimbali Benki ya Posta Tanzania (TPB) imezindua akaunti maalum kwa ajili ya Vikundi Visivyo Rasmi. Uzinduzi huo ulifanywa na Katibu Mtendaji wa Shirika la Uwezeshaji Tanzania, Beng’I Issa katika viwanja vya Shule ya Msingi Osterbay, Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog26 Jun
TPB yazindua huduma malaamu ya akaunti kwa vikundi visivyo rasmi

Katika jitihada za kuwafikia Watanzania mbalimbali Benki ya Posta Tanzania (TPB) imezindua akaunti maalum kwa ajili ya Vikundi Visivyo Rasmi.
Uzinduzi huo ulifanywa na Katibu Mtendaji wa Shirika la Uwezeshaji Tanzania, Beng’I Issa katika viwanja vya Shule ya Msingi Osterbay, Dar es...
11 years ago
Michuzi
Airtel Money yazindua rasmi huduma ya kutuma/kupokea pesa moja kwa moja kwenye akaunti ya tigo pesa

11 years ago
GPL
AIRTEL MONEY YAZINDUA RASMI HUDUMA YA KUTUMA, KUPOKEA PESA MOJA KWA MOJA KWENYE AKAUNTI YA TIGO PESA
10 years ago
Michuzi
TPB YAZINDUA RASMI KADI YA ATM KWA KIKUNDI CHA VICOBA ENDELEVU

10 years ago
MichuziECOBANK TANZANIA YAZINDUA RASMI WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
TPB kuanzisha huduma kwa viziwi
BENKI ya Posta Tanzania (TPB) inatarajia kuanzisha huduma maalumu kwa wateja wake wenye ulemavu, wakiwamo viziwi, ili wawe sehemu ya wanufaika wa huduma mbalimbali zilizoazishwa na benki hiyo. Ahadi hiyo...
10 years ago
Michuzi
Ripoti maalumu ya CAG Kuhusu akaunti ya ESCROW yakabidhiwa kwa Mwenyekiti wa PAC leo



10 years ago
GPL
RIPOTI MAALUMU YA CAG KUHUSU AKAUNTI YA ESCROW YAKABIDHIWA KWA MWENYEKITI WA PAC LEO
10 years ago
VijimamboDSTV TANZANIA YAZINDUA RASMI HUDUMA KUKODISHA FILAMU YA BOX OFFICE