Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DSTV YAZINDUA MSIMU WA LIGI ZA ULAYA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Usiku wa Dec 21 Ozil kaweka rekodi hii, hakuna mchezaji yoyote wa Ligi 5 kubwa Ulaya aliyeifikia msimu huu …

Usiku wa December 21 klabu ya Arsenal inayofundishwa na kocha wa kifaransa Arsene Wenger iliingia katika headlines za ushindi baada ya kuibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Manchester City katika dimba la Emirates. Magoli ya Arsenal yalifungwa na Theo Walcott na Oliver Giroud, ila stori kubwa haikuwa ushindi wa Arsenal. Kwani katika mitandao […]

The post Usiku wa Dec 21 Ozil kaweka rekodi hii, hakuna mchezaji yoyote wa Ligi 5 kubwa Ulaya aliyeifikia msimu huu … appeared first on...

 

11 years ago

Michuzi

DStV wazingua msimu wa soka leo

Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Ronald Baraka Shelukindo (kushoto) akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari (wahapo pichani) waliofika kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa Msimu wa Ligi kuu za Soka barani Ulaya unaotaraji kuanza mapeka wiki ijavyo katika viwanja mbali mbali,mechi hizo zote zitakuwa zikionyeshwa kupitia channel za michezo za Super Spotr zilizopo kwenye king'amuzi chao cha DStV.hafla hiyo imefanyika leo kwenye hoteli ya New Afrika,Jijini Dar es...

 

10 years ago

Dewji Blog

Msimu mpya wa Kandanda ndani ya DStv kutimua vumbi wiki ijayo

IMG_0388

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa msimu mpya wa kandanda kwa wateja wa DStv jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu na kulia ni Meneja Mwendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Baraka Shelukindo.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

IMG_0397

Meneja Uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Baraka Shelukindo, akijibu maswali ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

DSTV Tanzania yazindua kifurushi kipya

3

Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo (kulia), akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa kifurushi kipya cha  DSTV Bomba.(katikati), Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania Barbara Kambogi, na kushoto ni Meneja Masoko wa Multichoice, Furaha Samalu.

Na Mwandishi wetu

KAMPUNI ya Multichoice Tanzania  kupitia huduma ya DSTV imewataka wasanii kupeleka kazi zao ili waweze kutambulika nje na ndani ya nchi.

Kauli hiyo imetolewa  Dar es Salaam leo na Meneja Masoko...

 

10 years ago

GPL

DSTV YAZINDUA KING’AMUZI KIPYA

Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi (Katikati) akifafanua jambo kwenye mkutano na wanahabari (hawapo pichani), wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa king'amuziki kipya cha DStv HD leo jijini Dar. Kulia ni kwake ni Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo na kushoto ni Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu.… ...

 

10 years ago

GPL

MULTICHOICE YAZINDUA ‘DSTV BOMBA’

Kambogi akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakisikiliza kwa makini huduma mpya za DStv Bomba. Mhariri wa gazeti la Championi, John Joseph (kulia) akiuliza swali.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani