MULTICHOICE YAZINDUA ‘DSTV BOMBA’
![](http://api.ning.com:80/files/m9h2OjxKkWfvXyHOL4hNBdyAPGAHLgz4gAlnT*cR7GEGJnBkjnf1cis6OihYcfwu43i6ZemQRTdCIDUUYbtwD1cwNjaBHtQ5/1.jpg)
Kambogi akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakisikiliza kwa makini huduma mpya za DStv Bomba. Mhariri wa gazeti la Championi, John Joseph (kulia) akiuliza swali.…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/MULTICHOICE-1.jpg)
MULTICHOICE YAJA NA DSTV BOMBA, DIAMOND ALA SHAVU
10 years ago
Michuzi04 Feb
MULTICHOICE YAZINDUA KING’AMUZI KIPYA CHA DStv HD
![DSC_0100](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0100.jpg)
Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi (Katikati) akifafanua jambo kwenye mkutano na wanahabari (hawapo pichani), wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa king'amuziki kipya cha DStv HD leo jijini Dar. Kulia ni kwake ni Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo na kushoto ni Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog)
Na Andrew ChaleKAMPUNI ya MultiChoice Tanzania wasambazaji wa ving’amuzi vya DStv,...
9 years ago
Bongo529 Sep
Multichoice yatangaza kuiondoa channel ya ‘One Gospel’ kwenye DStv
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ni6WUhEsEuQ/VCvXy0XqspI/AAAAAAAGm7g/nMiVyos5iiY/s72-c/1.jpg)
DStv Bomba Yazinduliwa Tanzania
![](http://1.bp.blogspot.com/-ni6WUhEsEuQ/VCvXy0XqspI/AAAAAAAGm7g/nMiVyos5iiY/s1600/1.jpg)
Kifurushi hiki kipya cha Bomba kina chaneli nyingi nzuri ikiwemo chaneli iliyozinduliwa hivi karibuni ya Maisha Magic Swahili inayoonyesha filamu za kitanzania; chaneli ya Telemundo inayojulikana kwa michezo ya kuigiza ya...
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
MultiChoice Tanzania wamtangaza rasmi Diamond Platnumz kuwa ‘Official DSTV Brand Ambassador’
Mwanamuiki nyota nchini Tanzania, Nassib Abdul ama Diamond Platnumz akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani). (Picha na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na Adndrew Chale, Modewji
[DAR ES SALAAM-TANZANIA]
KAMPUNI ya MultiChoice Tanzania mapema jana imezindua ofa kabambe za msimu wa siku kuu huku ikimtambulisha rasmi Mwanamuziki Diamond Platnumz kuwa balozi maalum wa bidhaa za kampuni hiyo ikiwemo kifurushi cha DSTV BOMBA chenye chaneli zaidi ya 65 ikiwemo huduma ya vituo kadhaa vya...
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Multichoice yazindua king’amuzi kipya
KATIKA kuelekea michuano ya Kombe la Dunia itakayopigwa nchini Brazil mwaka huu, Kampuni ya Multichoice Tanzania imezindua king’amuzi chenye kumwezesha mtazamaji kukitumia kwa kurekodi vipindi mbalimbali ambavyo vilirushwa na kuviangalia...
11 years ago
Michuzi07 Aug
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
DSTV Tanzania yazindua kifurushi kipya
Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo (kulia), akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa kifurushi kipya cha DSTV Bomba.(katikati), Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania Barbara Kambogi, na kushoto ni Meneja Masoko wa Multichoice, Furaha Samalu.
Na Mwandishi wetu
KAMPUNI ya Multichoice Tanzania kupitia huduma ya DSTV imewataka wasanii kupeleka kazi zao ili waweze kutambulika nje na ndani ya nchi.
Kauli hiyo imetolewa Dar es Salaam leo na Meneja Masoko...
10 years ago
GPLDSTV YAZINDUA KING’AMUZI KIPYA