DStv Bomba Yazinduliwa Tanzania
![](http://1.bp.blogspot.com/-ni6WUhEsEuQ/VCvXy0XqspI/AAAAAAAGm7g/nMiVyos5iiY/s72-c/1.jpg)
MultiChoice Africa ina furaha kuwatangazia kuwa imezindua kifurushi kipya maalumu kwa watanzania. Kifurushi hiki kimetengenezwa mahususi kwa watanzania kikiwa na chaneli zaidi 65 za kitaifa na kimataifa zitakazotoa burudani pekee kwa familia za kitanzania.
Kifurushi hiki kipya cha Bomba kina chaneli nyingi nzuri ikiwemo chaneli iliyozinduliwa hivi karibuni ya Maisha Magic Swahili inayoonyesha filamu za kitanzania; chaneli ya Telemundo inayojulikana kwa michezo ya kuigiza ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m9h2OjxKkWfvXyHOL4hNBdyAPGAHLgz4gAlnT*cR7GEGJnBkjnf1cis6OihYcfwu43i6ZemQRTdCIDUUYbtwD1cwNjaBHtQ5/1.jpg)
MULTICHOICE YAZINDUA ‘DSTV BOMBA’
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/MULTICHOICE-1.jpg)
MULTICHOICE YAJA NA DSTV BOMBA, DIAMOND ALA SHAVU
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
DSTV Tanzania yazindua kifurushi kipya
Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo (kulia), akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa kifurushi kipya cha DSTV Bomba.(katikati), Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania Barbara Kambogi, na kushoto ni Meneja Masoko wa Multichoice, Furaha Samalu.
Na Mwandishi wetu
KAMPUNI ya Multichoice Tanzania kupitia huduma ya DSTV imewataka wasanii kupeleka kazi zao ili waweze kutambulika nje na ndani ya nchi.
Kauli hiyo imetolewa Dar es Salaam leo na Meneja Masoko...
10 years ago
Dewji Blog10 Jul
DStv Tanzania yafuturisha Watoto Yatima wa kituo cha Al- Madina
Mkuu wa kituo cha Kulelea Watoto yatima cha Al-Madina, Bi. Kulthum Juma akizungumzia kuhusu kituo hicho pamoja na kutoa shukrani kwa kampuni ya Multichoice Tanzania kwa kuendelea kukisaidia kituo cha hicho ambacho kina takribani watoto 68 na pia kituo hicho kipo eneo la Tandale kwa Tumbo jijini Dar.
Ustadhi Mashaka Salim akitoa neno.
Mkurugenzi wa Multichoice Tanzania, Peter Fauel akichukua chakula wakati wa kuwafuturisha watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Al-Madina kilichopo...
10 years ago
GPLDSTV TANZANIA YAFUTURISHA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA AL- MADINA
10 years ago
VijimamboDSTV TANZANIA YAZINDUA RASMI HUDUMA KUKODISHA FILAMU YA BOX OFFICE
10 years ago
GPLDSTV TANZANIA YAFUTURISHA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA AL- MADINA DAR ES SWALAAM
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
MultiChoice Tanzania wamtangaza rasmi Diamond Platnumz kuwa ‘Official DSTV Brand Ambassador’
Mwanamuiki nyota nchini Tanzania, Nassib Abdul ama Diamond Platnumz akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani). (Picha na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na Adndrew Chale, Modewji
[DAR ES SALAAM-TANZANIA]
KAMPUNI ya MultiChoice Tanzania mapema jana imezindua ofa kabambe za msimu wa siku kuu huku ikimtambulisha rasmi Mwanamuziki Diamond Platnumz kuwa balozi maalum wa bidhaa za kampuni hiyo ikiwemo kifurushi cha DSTV BOMBA chenye chaneli zaidi ya 65 ikiwemo huduma ya vituo kadhaa vya...