Multichoice yatangaza kuiondoa channel ya ‘One Gospel’ kwenye DStv
MultiChoice Africa imetangaza kuiondoa channel ya gospel, ‘One Gospel’ kwenye DStv channel 331 kuanzia Jumatano ya Septemba 30, 2015. Uamuzi wa kuiondoa channel hiyo umefanyika kama sehemu ya utaratibu wa Multichoice wa kutathmini utendaji wa channel zilizoko katika platform yao. Multichoice imewaomba radhi watazamaji wao pamoja na kuwahakikishia kuwa bado wataendelea kupata vipindi vya dini […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMULTICHOICE YAZINDUA ‘DSTV BOMBA’
9 years ago
GPLMULTICHOICE YAJA NA DSTV BOMBA, DIAMOND ALA SHAVU
10 years ago
Michuzi04 Feb
MULTICHOICE YAZINDUA KING’AMUZI KIPYA CHA DStv HD
Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi (Katikati) akifafanua jambo kwenye mkutano na wanahabari (hawapo pichani), wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa king'amuziki kipya cha DStv HD leo jijini Dar. Kulia ni kwake ni Meneja uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Shelukindo na kushoto ni Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog)
Na Andrew ChaleKAMPUNI ya MultiChoice Tanzania wasambazaji wa ving’amuzi vya DStv,...
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Barbara Kambogi wa MultiChoice Tanzania awa mkuu mpya wa Channel ya Maisha Magic Bongo!
Aliyekuwa Meneja Uhusiao wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi amepata nafasi ya juu katika kampuni ya MultiChoice na kuwa Mkuu mpya wa Channeli ya Maisha Magic Bongo.
Katika taarifa yake kwa waandishi wa habari iliyotumwa leo, Barbara Kambogi amewashukuru na kuwapongeza wanahabari...
11 years ago
Michuzi03 Jun
Zuriel on Moments With Mo today on DSTV Channel 165
10 years ago
MichuziDStv SUBSCRIBERS SCORE WITH A SPECIAL AFCON CHANNEL
10 years ago
MichuziExciting New Telenovela Channel Eva Launches Only on DStv in Africa
Eva will bring the sizzle to DStv Premium, Compact Plus and Compact subscribers’ television screens with their line up of hot Latin American telenovelas fully dubbed in English. Viewers who enjoy their life with added spice will be treated...
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
MultiChoice Tanzania wamtangaza rasmi Diamond Platnumz kuwa ‘Official DSTV Brand Ambassador’
Mwanamuiki nyota nchini Tanzania, Nassib Abdul ama Diamond Platnumz akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani). (Picha na Andrew Chale, Modewjiblog).
Na Adndrew Chale, Modewji
[DAR ES SALAAM-TANZANIA]
KAMPUNI ya MultiChoice Tanzania mapema jana imezindua ofa kabambe za msimu wa siku kuu huku ikimtambulisha rasmi Mwanamuziki Diamond Platnumz kuwa balozi maalum wa bidhaa za kampuni hiyo ikiwemo kifurushi cha DSTV BOMBA chenye chaneli zaidi ya 65 ikiwemo huduma ya vituo kadhaa vya...
11 years ago
MichuziTASWIRA MBALI MBALI KATIKA USIKU WA UNIVERSAL CHANNEL (MULTICHOICE AFRICA EXTRAVAGANZA) NCHINI MAURITIUS
IK akifanya mahojiano na waigizaji wa moja ya filamu...