Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DStV wazingua msimu wa soka leo

Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Ronald Baraka Shelukindo (kushoto) akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari (wahapo pichani) waliofika kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa Msimu wa Ligi kuu za Soka barani Ulaya unaotaraji kuanza mapeka wiki ijavyo katika viwanja mbali mbali,mechi hizo zote zitakuwa zikionyeshwa kupitia channel za michezo za Super Spotr zilizopo kwenye king'amuzi chao cha DStV.hafla hiyo imefanyika leo kwenye hoteli ya New Afrika,Jijini Dar es...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

msimu wa tano wa mashindano ya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars wazinduliwa leo

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo imezindua rasmi msimu wa tano wa mashindano ya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars ambayo yataanza kutimua vumbi Agosti 8 katika ngazi ya awali na kuhitimishwa kwa fainali za Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia Septemba 11 - 21 mwaka huu.  Akiongea na waandishi wa habari kwenye hafla ya uzinduzi jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano amesema kampuni ya Airtel Tanzania ...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Dewji Blog

Msimu mpya wa Kandanda ndani ya DStv kutimua vumbi wiki ijayo

IMG_0388

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania, Barbara Kambogi, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa msimu mpya wa kandanda kwa wateja wa DStv jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu na kulia ni Meneja Mwendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Baraka Shelukindo.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

IMG_0397

Meneja Uendeshaji wa Multichoice Tanzania, Ronald Baraka Shelukindo, akijibu maswali ya...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Mwananchi

Tuiheshimu ligi yetu ya soka msimu huu

Mbio za kusaka bingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara zinaanza, Septemba 12 na 13 kwa timu zote 16 kuumana kwenye viwanja tofauti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani