Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dunia yamkumbuka hayati Mandela

Hii leo ni siku ya kimataifa ya kusherehekea maisha ya hayati Nelson Mandela.Wananchi wa Afrika Kusini wamefanya shughuli mbali mbali za kijamii kumkumbuka

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

DUNIA YAMKUMBUKA MANDELA KATIKA MKUSANYIKO MKUBWA SOWETO

Ndugu na jamaa wa Mandela wakiwa wamekaa uwanjani huku mvua ikinyesha katika ibada ya kumkumbuka Mandela. Picha kubwa ya Mandel ikiwa katika Uwanja wa FNB.…

 

10 years ago

Vijimambo

TUZO YA HESHIMA KUTOLEWA KWA BABA WA TAIFA HAYATI JK NYERERE NA HAYATI NELSON MANDELA, JIJINI DAR

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TUZO YA JAMII ITAKAYOTOLEWA TAREHE 13 APRIL 2015 KATIKA UKUMBI WA JULIUS NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE, JIJINI DAR ES SALAAM
MGENI RASMI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Mrisho Kikwete
WAGENI WAALIKWA:
Mara baada ya Hafla ya Tuzo ya Jamii ambapo Washindi wote watapewa Tuzo na Mgeni Rasmi, Kutakuwa na Dhifa ya Kitaifa ya Tuzo ya Jamii ambayo itahudhuriwa na wageni wafuatao:
Wapewa Tuzo, Familia za wapewa Tuzo, Viongozi...

 

12 years ago

BBCSwahili

Barabara za Hayati Mandela

Barabara nyingi duniani zimepewa jina la Mandela ishara ya alivyopendwa sana sio Afrika tu bali duniani kote

 

11 years ago

BBCSwahili

Mali ya hayati Mandela yatangazwa

Hayati Nelson Mandela aliacha mali yenye thamani ya dola milioni nne ambayo alisema igawanywe kati ya familia, shule na chama cha ANC

 

10 years ago

BBCSwahili

Mjukuu wa hayati mzee Mandela ahukumiwa

Mjukuu wa hayati Mzee Nelson Mandela amepatikana na hatia ya kusababisha majeraha

 

11 years ago

BBCSwahili

Hayati Mandela aendelea kumiminiwa sifa

Mwili wa hayati Nelson Mandela umewekwa katika jengo la Union ambako aliapishwa wakati aliingia mamlakani mwaka 1994 ili wageni waweze kuutizama.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE KATIKA KUMBUKUMBU YA HAYATI NELSON MANDELA

Rais Jakaya Kikwete (wa nne kutoka kulia mstari wa pili) akiwa na mkewe mama Salma Kikwete katika ibada ya Kumbukumbu ya Kifo cha aliyekuwa kiongozi mashuhuri wa Afrika Kusini na duniani, Mheshimiwa Nelson R Mandela. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Desemba 10, 2013, ameungana na viongozi wa mataifa mbali mbali duniani na maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini Kuadhimisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Koffi Annan: Viongozi Afrika igeni mfano wa Hayati Nelson Mandela

Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan amesema umoja wa viongozi wa dunia waliokutanishwa na Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini, Nelson Mandela utaendelea kufanya kazi yake ya kuhakikisha amani na usalama vinatawala dunia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Dunia wazidi kumkumbuka Mandela

Watu mbalimbali duniani wameendelea kumwelezea Nelson Mandela alikuwa mtu wa namna gani na harakati zake za ukombozi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani