Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


E FM 93.7 yazindua kipindi kipya cha Sports Headquarter

 Kituo cha radio cha E FM 93.7 leo kimezindua kipindi kipya kabisa cha Sports Headquarter (Makao Makuu ya habari) kikiwa cha kwanza katika historia kuruka kwa masaa matatu kuzungumzia michezo tena asubuhi saa tatu mpaka saa sita mchana.  Pichani juu ni Watangazaji nguli wa Michezo nchini Maulid Baraka Kitenge na  Ibrahim Masoud Maestro wakikiendesha kipindi hicho cha masaa matatu leo.
Kitakuwa kinaruka Jumatatu mpaka Ijumaa saa tatu Asubuhi mpaka saa sita mchana. Hii no katika historia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Utambulisho wa kipindi kipya cha Televisheni cha Kiswahili Washington DC

Mwakilishi wa balozi, ambaye pia ni Mkuu wa utawala na Fedha wa ubalozi, Swahiba Mndeme, akisalimia wageni wakati wa utambulishoMkuu wa utawala na Fedha wa ubalozi, Swahiba Mndeme akitambulisha rasmi kipindi hicho
Mmoja wa washiriki wa Jambo Show Radio inayotayarishwa na Swahili Media Network, Sala DamaliMwanzilishi wa Jambo Show Steven Mghaza akielezea kipindi hicho kwa wageni waalikwaMeneja masoko wa CBC Radio hapa Washington DC R.J Trzaska akielezea umuhimu wa radio kwa jamii yetu na...

 

9 years ago

Vijimambo

KIPINDI KIPYA CHA RADIO CHA SWAHILI HIP HOP

Kilimanjaro Studio sasa kuja na kipindi kipya cha muziki wa kizazi kipya kila siku ya Jumamosi saa 4 asubuhi kwa saa za Amerika ya mashariki mtayarishaji wa kipindi na mtangazaji ni Buheti AbdulrahmanKipindi hiki kitakuwezesha kujua mambo gani yaliyojiri kila wiki kuhusiana na muziki na wanamuziki wa Bongo Flava na nafasi pekee ya kuweza kuburudika na muziki wa Bongo Flava huku ukipata historia ya wanamuziki hao, kila siku ya Jumamosi ndani ya Kilimanjaro Studio unweza kutupata kupitia...

 

10 years ago

Michuzi

MANISPAA YA KINONDONI YAZINDUA HUDUMA YA BURE YA INTERNETI KWENYE KITUO KIPYA CHA DALADALA CHA SINZA

Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, imedhihirisha jitihada zake za kwenda na wakati katika huduma zake, baada ya kuamua kutoa huduma ya bure ya mtandao wa intrenet wa WiFi kwenye Kituo kipya cha Mabasi cha Sinza, jijini Dar es Salaam.

Akizindua huduma hiyo, jana, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda alisema, mtandao wa WiFi umeunganishwa kwenye kituo hicho kupitia mkongo wa mawasiliano kupitia Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).

Mwenda alisema, mtandao huo utakuwepo usiku na...

 

10 years ago

Vijimambo

MANISPAA YA KINONDONI YAZINDUA HUDUMA YA BURE YA INTERNETI KWENYE KITUO KIPYA CHA DALADALA CHA SIMU2000

Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, imedhihirisha jitihada zake za kwenda na wakati katika huduma zake, baada ya kuamua kutoa huduma ya bure ya mtandao wa intrenet wa WiFi kwenye Kituo kipya cha Mabasi cha Sinza, jijini Dar es Salaam.
Akizindua huduma hiyo, jana, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda alisema, mtandao wa WiFi umeunganishwa kwenye kituo hicho kupitia mkongo wa mawasiliano kupitia Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).
Mwenda alisema, mtandao huo utakuwepo usiku na...

 

10 years ago

Vijimambo

JUKWAA LANGU...Kipindi kipya cha radio

Photo Credits: RentalStages.comKipindi hiki ambacho kitakuwa kikikujia kila JUMATATU, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Hiki ni kipindi cha kwanza kilichosikika Juni 22, 2015

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

GAPCO YAZINDUA KILAINISHA KIPYA CHA PIKIPIKI

Kampuni ya Gapco Tanzania Ltd leo hii imezindua kilainishi kipya cha pikipiki kilijulikanacho kama Relstar Alpha 4T Ultra. Uamuzi wa Gapco kuzindua bidhaa hii ni kutokana na ongezeko kubwa la pikipiki nchini haswa kwa matumizi ya kibiashara.
Akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi huo, Mkurugenzi Mkuu wa Gapco, Bwana. Macharia Irungu alisema, “Utafiti umetuonyesha kwa sasa watumiaji wamiliki wengi wa pikipiki wanalazimishwa kutembelea gereji mara mbili kwa mwezi kwa ajili ya...

 

11 years ago

GPL

GAPCO YAZINDUA KILAINISHI KIPYA CHA PIKIPIKI

Mohamed Mpinga na Macharia Irungu wakizindua kilainishi cha Relstar Alpha 4T jijini Dar es Salaam.
Mohamed Mpinga na Macharia Irungu wakishangilia baada ya uzinduzi huo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani