Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ebola yaathiri siku kuu ya Eid

Ripoti kutoka Magharibi mwa Afrika zinasema kuwa sherehe za Eid Ul Adhaa zimeathiriwa vibaya na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAISLAM WA STOCKHOLM WALIVYO JUMUIKA NA WATANZANIA WENZAO KWENYE SIKU KUU YA EID

 Balozi wa Tanzania nchini Swedeni Mhe. Dora Msechu (wa pili kulia) akiwa na wenyeji wake kwenye sherehe za Eid el Fitr  jana kwenye ukumbi wa Huddinge jijini Stockholm ambako waislamu walijumuika na Watanzania wenzao kusherehekea mwisho wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu kwa kupata chakula cha  pamoja. Keki ya Eid na mapochopocho mengine Bi Aisha Waziri akikata keki ya Eid Wageni waalikwa wakijumuika kwa chakula cha Eid.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Dewji Blog

Waumini wa dini ya Kiislamu mkoa wa Singida, waungana na wenzao kusherehekea siku kuu ya Eid El-Fitr

DSC00310

Sheikh wa mkoa wa Singida na Meya Mstahiki wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Sheikh Salum Mahami, akitoa mawaidha yake kwenye kilele cha Siku kuu ya Eid El-Fitr kilichofanyika kwenye uwanja wa Namfua leo. Pamoja na mambo mengine, Sheikh Mahami amekisihi kikundi cha Ukawa kurudi Bungeni, ili waweze kuwapatia Watanzania Katiba itakayokidhi mahitaji ya zaidi ya miaka 50 ijayo.

DSC00317

Imamu wa msikiti wa Utemini, Jumanne Maghasi, akisoma dua kwenye kilele cha maadhimisho ya siku kuu ya Eid...

 

9 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA EID AL HAJJ NEW YORK SIKU YA SEPTEMBER 24 SIKU YA ALHAMIS KUANZIA SAA 7 MCHANA HADI 4 USIKU


Jumuiya ya Waislam Watanzania wa NY, NJ, CT MA, PA na DE (NEMTA) ina furaha kuwaalika Watanzania wote wanaishio katika majimbo tajwa kuhudhuria tafrija ya kusherehekea Eid Al Hajj. Ndugu waalikwa tunawaomba kufika kwa wakati ili tuweze kufaidika na kuwafaidisha watoto wetu kusherehekea siku hii adhimu. Kuhudhuria kwako itakuwa ni ushirikiano mkubwa katika kufanikisha sherehe hii. Mahala husika ambapo sherehe itafanyika ni Madina Hall Kuanzia saa 7 Mchana hadi 4 usiku  Watanzania wote...

 

10 years ago

BBC

Ebola dampens Eid celebrations

Celebrations in West Africa for the Muslim festival of Eid al-Adha are being badly affected by the Ebola outbreak, with many public places deserted.

 

10 years ago

Mwananchi

Eid el Fitr ni siku ya furaha, kufanya ibada

>Waislam dunia nzima wamekamilisha ibada muhimu ya kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Furaha zimetawala kila kona, si kwa sababu sasa wameachiwa huru bali kwa sababu wamefaulu kutekeleza amri ya kufunga.

 

11 years ago

Michuzi

chakula cha pamoja siku ya Eid Mosi coventry

                                 ASSALAM  ALAIKUM

Madrasatul  Aqsaa  Coventry  UK inapenda  kuwajulisha kuwa  tumeandaa chakula cha  pamoja siku  ya  Eid Mosi kama  ifuatavyo:

Kiwango £6 kwa  watu  wazima na £4 kwa  watoto

Pahala: Muslim Resource  centre

               Red Lane, Coventry CV6 5EE

Tunapokea  majina  na  mwisho  ni Jumatatu  Tareh 21/7/2014

Kumbukeni  kwamba  tutaswali  sala ya  Eid  pale  pale  Muslim  Resource  Center.Darasa zentu  zinaendelea  LIVE  kama  kawaida...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Michuzi

JK alipotua Dodoma kuongoza kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili majina ya walioomba kugombea Uspika

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili mjini Dodoma kwa ajili ya kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu itakayojadili majina ya wana-CCM walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wana CCM alipowasili mjini Dodoma kwa ajili ya...

 

11 years ago

CloudsFM

Kutana na dj fetty na dj Louise kutoka Scotland ndani ya escape 1 siku ya Eid pili

Siku ya Eid pili pale Escape 1 patakuwa hapatoshi ndani ya Red Lipstick, pale ambapo Dj wa kike kutoka Tanzania Dj Fetty na dj wa kike kutoka Scotland Dj Louise watakapo uwasha moto huku wasanii wakike wakifanya yao kwa stage

NI usiku muhimu sana hasaa kwa akina dada ingawa jinsia zote zinaruhusiwa, ambapo licha ya kuwa n amuziki na ladha tofauti pale dj hao watakapo kuwa katika mashine, lakini kutokuwa n amajor announcement kutoka kwa Fetty kwenda kwa akina dada wooooote. kiingilio ni sh...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani