Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATOTO SIKU YA EID HAJJ DMV, FACE PAINT


 






 







Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WOTE MNAKARIBISHWA KWENYE SHEREHE ZA EID - AL-HAJJ HAPA DMV


Jumuiya ya Waislamu ya Washington DC (TAMCO), Inapenda kuwatangazia kwamba sherehe za Eid El Hajj zitafanyika siku ya Jumamosi, October 4th, 2014. Kuanzia saa nane mchana mpaka saa tatu usiku . (2PM-9PM)
Anuani ni kama ifuatavyo;
Quince Orchard Valley Neighborhood park12015 Suffolk Terrace, Gaithersburg, MD 20878.
Tunawaomba WATANZANIA WOTE tujumuike pamoja na familia zetu katika kusherehekea siku hii tukufu.


 

9 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA EID AL HAJJ NEW YORK SIKU YA SEPTEMBER 24 SIKU YA ALHAMIS KUANZIA SAA 7 MCHANA HADI 4 USIKU


Jumuiya ya Waislam Watanzania wa NY, NJ, CT MA, PA na DE (NEMTA) ina furaha kuwaalika Watanzania wote wanaishio katika majimbo tajwa kuhudhuria tafrija ya kusherehekea Eid Al Hajj. Ndugu waalikwa tunawaomba kufika kwa wakati ili tuweze kufaidika na kuwafaidisha watoto wetu kusherehekea siku hii adhimu. Kuhudhuria kwako itakuwa ni ushirikiano mkubwa katika kufanikisha sherehe hii. Mahala husika ambapo sherehe itafanyika ni Madina Hall Kuanzia saa 7 Mchana hadi 4 usiku  Watanzania wote...

 

9 years ago

Vijimambo

Tangazo la EID EL ADHA’ (EID EL HAJJ)

 
Assalamu Alaykum Wa Rahmatullaahi wa Barakaatuhu Uongozi wa Tanzanian Muslims Community of Washington DC Metro (TAMCO) Una Furaha Kuwakaribisha  WaTanzania Wote katika Sherehe za Eid El Adha’ kuadhimisha Kukamilika kwa Ibada Ya Hajj iliyofanywa na Mahujaji Wetu huko Makkah. Thursday September 24, 2015(in shaa Allah) 1.     Chai ya Asubuhi ya Pamoja, Baada ya Salat El EidKuanzia Saa Nne Asubuhi – Saa Saba Mchana 10AM-1PM & 2.     Sherehe za Eid Jioni  - Picnic (Cook out)Kuanzia Saa Tisa...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEHERA ZA EID AL UDHA ILIVYOSHEREHEKEWA NA WANA DMV HUKO MARYLAND USA, ZIKIWEMO NA PROGRAM ZA WATOTO

Mwenyekiti wa jumuiya ya waislam DMV (kushoto) Ustadh Ali Mohammed akiwa na mmoja wa wageni rasmi katika meza kuu Canal Ruta (kulia) Meza kuu ilikwa na wageni rasmi, kutoka kulia ni Canal Ruta kutoka ubalozi wa tanzania washington DC, akimwakilisha mheshimiwa balozi akiwa katika shughuli nyengine za kikazi, wapili kulia ni balozi Ali Karume, wa tatu, rais wa TAMCO DMV, na wanne kushoto ni mke wa balozi Ali Karume
Meza kuu ilikwa na wageni rasmi, kutoka kulia ni Canal Ruta kutoka ubalozi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

SALAM ZA EID EL HAJJ

Familia ya Bilal NY inatoa salam za Eid kwa waislam wote popote pale walipo, na wanawaombea mahujaji wote waliokwenda kutekelea nguzo tano (hija) kukubaliwa  hija zao na kurudi safari yao salama, pia wanaombea na wale waliokuwa hawajabahatika kuhiji na wao Mungu awape uwezo, kuweza kutekeleza nguzo hiyo,Amin




 

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS INAWATAKIA EID AL HAJJ NJEMA

Uongozi na wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd, wanawatakia wasomaji wake sikukuu jema ya Eid al Hajj.

 

9 years ago

IPPmedia

JK donates gifts to orphans, old people for Eid el Hajj


JK donates gifts to orphans, old people for Eid el Hajj
IPPmedia
President Jakaya Kikwete has donated assorted items to 18 orphanages and elderly centres in the country as part of Eid el Hajj celebrations. Some of the donations were presented to the Dar es Salaam Children Juvenal prison yesterday by the Assistant ...

 

10 years ago

Michuzi

JK ashiriki Sala ya EID El Hajj Upanga Dar es Salaam

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Hajj katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

 

9 years ago

Michuzi

BARAZA LA EID EL HAJJ CHUO CHA AMALI MKOKOTONI

Msafara wa Gari za  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein zikiongozwa na mapikipiki wakati ukiwasili katika Chuo cha Amali Mkokotoni Wilaya ya Kaskzani A Mkoa wa kaskazini Unguja palipofanyika mkutano wa baraza la Eid EL Hajj leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi katika ukumbi wa  Chuo cha Amali Mkokotoni katika Mkutano wa Baraza la Eid El Hajj akiwa mgeni rasmi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani