Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ashiriki Sala ya EID El Hajj Upanga Dar es Salaam

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Hajj katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Semi- finished houses for SALE at Kunduchi Sala Sala, Dar es salaam

Semi- finished houses for SALE at Kunduchi Sala Sala in Dar es salaam, from Tshs.110 Million. Only 200 metres from tarmac road (lami). Middle class neighborhood. Zipo kwenye maeneo ni ya kishua. Call 0717 939 293 or email tinogobba2002@yahoo.com

 

9 years ago

Vijimambo

Tangazo la EID EL ADHA’ (EID EL HAJJ)

 
Assalamu Alaykum Wa Rahmatullaahi wa Barakaatuhu Uongozi wa Tanzanian Muslims Community of Washington DC Metro (TAMCO) Una Furaha Kuwakaribisha  WaTanzania Wote katika Sherehe za Eid El Adha’ kuadhimisha Kukamilika kwa Ibada Ya Hajj iliyofanywa na Mahujaji Wetu huko Makkah. Thursday September 24, 2015(in shaa Allah) 1.     Chai ya Asubuhi ya Pamoja, Baada ya Salat El EidKuanzia Saa Nne Asubuhi – Saa Saba Mchana 10AM-1PM & 2.     Sherehe za Eid Jioni  - Picnic (Cook out)Kuanzia Saa Tisa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi Wizara ya Habari watembelea Kituo cha Utamaduni wa Watu wa China Upanga jijini Dar es Salaam

PIX4

Watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakiongozwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko (Mwenye shati la batiki) wakiangalia baadhi ya vitabu katika maktaba ya  Kituo cha Utamaduni wa Watu wa China kilichopo Upanga jijini Dar es Salaam jana.

PIX5

Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakijisajili kwa ajili ya Kozi fupi za Lugha ya Kichina inayotolewa na Kituo cha Utamaduni wa Watu wa China kilichopo Upanga jijini...

 

10 years ago

Michuzi

Mwaliko wa SALA YA EID UL ADH-HA Leicester

Assalaamu alaykum wa Rahmatul Laahi wa Barakaatuh

 Jumuia ya An Noor ya Mji wa Leicester, Uingereza, ina furaha kuwatangazia na kuwaalika Waislamu wote kutoka katika mji wa Leicester na vitongoji vyake katika Sherehe za Eid ul Adh-ha kwa Utaratibu huu hapa chini:SIKU:   Jumamosi tarehe 4 Oktoba 2014

PAHALA:         Masjid An Noor Leicester, 170a Belgrave Gate, Leicester LE1 3XL

WAKATI:         Takbeer msikitini zitaanza Saa Tatu Kamili Asubuhi (9.00am)

                    Na Sala ya Eid...

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Shein ajumuika na waislamu katika Sala ya Eid el Fitr

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein(wa pili kulia) akijumuika na Viongozi na waislamu mbali mbali katika swala ya Suna ya Idd el Fitri iliyoswaliwa kitaifa leo katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,Waislamu wa mitaa mbali mbali ya Mji wa Unguja wakimsikiliza Sheikh Soraga(hayupo pichani) alipotoa hutba ya swala ya Idd el Fitri leo iliyoswaliwa kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

10 years ago

Vijimambo

SALA YA EID ILIOSALIWA KATIKA JIMBO LA MARYLAND NCHINI MAREKANI

Mmoja wa viongozi wa msikiti wa MCC katika jimbo la Maryland nchini Marekani, akielezea maendeleo ya msikiti  katika huduma za afya ,shuke na utanuzi wa msikiti
 IMAM AKITOA MUONGOZO WA SALA YA EID ITAKAVYOSALIWA IKIFUATIWA NA GHUTBA
 KATIKATI, ALMAARUFU DULA MAKEO, NA MBALI KIDOGO UBAVUNI KWAKE NI MOHAMED LODI NA WAUMINI WENGINE WAKIFUATILIA KWA MAKINI MAELEKEZO YA SHEIKH AMBAYE HAYUPO PICHANI






























 

10 years ago

Vijimambo

SALAM ZA EID EL HAJJ

Familia ya Bilal NY inatoa salam za Eid kwa waislam wote popote pale walipo, na wanawaombea mahujaji wote waliokwenda kutekelea nguzo tano (hija) kukubaliwa  hija zao na kurudi safari yao salama, pia wanaombea na wale waliokuwa hawajabahatika kuhiji na wao Mungu awape uwezo, kuweza kutekeleza nguzo hiyo,Amin




 

10 years ago

Vijimambo

ANGALIA TASWIRA MBALIMBA ZA SALA YA EID AL-ADHW-HA​A 2014 UGHAIBUNI

Waumini wa dini ya kiislamu hapa nchini marekani na baadhi ya nchi za ulaya na uwarabuni leo wameunhana pamoja kusali sala ya Eid baada ya kukamilika ibada ya Hija huko Maka nchini Soudi Arabia. Waumini wa Jumaiya ya kiIslamu, Tanzanian Muslim Community Washington DC wakipata picha ya pamoja baada ya kumaliza sala ya Eid Al-Adhw-haa, iliosaliwa  mapema asubuhi ya saa Moja Nanusu ya Siku ya Jumanne Oct 4, 2014 Msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland US.( Picha zote na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Angalia taswira mbalimbali za sala ya Eid Al-Adhw-Haa 2014 Ughaibuni

Waumini wa dini ya kiislamu hapa nchini marekani na baadhi ya nchi za ulaya na uwarabuni leo wameunhana pamoja kusali sala ya Eid baada ya kukamilika ibada ya Hija huko Maka nchini Saudi Arabia. Waumini wa Jumaiya ya kiIslamu, Tanzanian Muslim Community Washington DC wakipata picha ya pamoja baada ya kumaliza sala ya Eid Al-Adhw-haa, iliosaliwa  mapema asubuhi ya saa Moja Nanusu ya Siku ya Jumanne Oct 4, 2014 Msikiti wa Islamic Center New Hampshire Maryland US.( Picha zote na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani