SALAM ZA EID EL HAJJ
![](http://3.bp.blogspot.com/-LewZ_hhPTKg/VCypuJa5SzI/AAAAAAAABtw/qOd-NfUACl0/s72-c/SALUM%2BNY.jpg)
Familia ya Bilal NY inatoa salam za Eid kwa waislam wote popote pale walipo, na wanawaombea mahujaji wote waliokwenda kutekelea nguzo tano (hija) kukubaliwa hija zao na kurudi safari yao salama, pia wanaombea na wale waliokuwa hawajabahatika kuhiji na wao Mungu awape uwezo, kuweza kutekeleza nguzo hiyo,Amin
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-6lUO3CrqGY0/U9FEW9FGv_I/AAAAAAAAEHI/HT5aau2NVJU/s72-c/logo%2Bcopy.jpg)
Tangazo la EID EL ADHA’ (EID EL HAJJ)
![](http://4.bp.blogspot.com/-6lUO3CrqGY0/U9FEW9FGv_I/AAAAAAAAEHI/HT5aau2NVJU/s640/logo%2Bcopy.jpg)
Assalamu Alaykum Wa Rahmatullaahi wa Barakaatuhu Uongozi wa Tanzanian Muslims Community of Washington DC Metro (TAMCO) Una Furaha Kuwakaribisha WaTanzania Wote katika Sherehe za Eid El Adha’ kuadhimisha Kukamilika kwa Ibada Ya Hajj iliyofanywa na Mahujaji Wetu huko Makkah. Thursday September 24, 2015(in shaa Allah) 1. Chai ya Asubuhi ya Pamoja, Baada ya Salat El EidKuanzia Saa Nne Asubuhi – Saa Saba Mchana 10AM-1PM & 2. Sherehe za Eid Jioni - Picnic (Cook out)Kuanzia Saa Tisa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Et8Baavh_8k/VCyswETF1fI/AAAAAAAABuE/m9nfy-kvkXQ/s72-c/BI%2BHAFISA%2BKHAMIS%2BNY%2B2.jpg)
SALAM ZA EID
![](http://2.bp.blogspot.com/-Et8Baavh_8k/VCyswETF1fI/AAAAAAAABuE/m9nfy-kvkXQ/s1600/BI%2BHAFISA%2BKHAMIS%2BNY%2B2.jpg)
Bi Haifa Khamis anamtakia kheri ya Eid kaka yake mpendwa Yahya Khamis na watu wote wa Washington DC na Maryland
10 years ago
VijimamboSALAM ZA EID MUBARAK
11 years ago
Dewji Blog30 Jul
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LYZrjK6etVcEw0h6G*WlqwFE2i6H7iDQAMTvrcrAleSMIKiYU0Y9QhG30ERtv2aJqxEfJCm4iliVsUFvgtasXlN8bCT94Nxe/eid.gif?width=650)
GLOBAL PUBLISHERS INAWATAKIA EID AL HAJJ NJEMA
Uongozi na wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd, wanawatakia wasomaji wake sikukuu jema ya Eid al Hajj.
9 years ago
IPPmedia24 Sep
JK donates gifts to orphans, old people for Eid el Hajj
IPPmedia
President Jakaya Kikwete has donated assorted items to 18 orphanages and elderly centres in the country as part of Eid el Hajj celebrations. Some of the donations were presented to the Dar es Salaam Children Juvenal prison yesterday by the Assistant ...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-04AaMYnpgFY/VDHPwLy-0-I/AAAAAAAGoMc/W6ykrRX8eQ8/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
COMSWA YAADHIMISHA EID EL HAJJ MJINI COVENTRY, UINGEREZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-04AaMYnpgFY/VDHPwLy-0-I/AAAAAAAGoMc/W6ykrRX8eQ8/s1600/unnamed%2B(3).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Y0w8zBn69Tk/VDD13mJJPaI/AAAAAAAGn88/oF2BO01VWF8/s72-c/unnamed%2B(34).jpg)
JK ashiriki Sala ya EID El Hajj Upanga Dar es Salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-Y0w8zBn69Tk/VDD13mJJPaI/AAAAAAAGn88/oF2BO01VWF8/s1600/unnamed%2B(34).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GJMoaFaAAOI/VDD1349QGUI/AAAAAAAGn9A/AHI_HI_zCzU/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
Vijimambo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania