Ebola yamweka chini ya karantini
Mtanzania aliyetoka nchini Senegal, Mkazi wa Uru, wilayani Moshi Vijijini, amewekwa chini ya karantini katika wodi maalumu ya Hospitali ya Mawenzi, mjini Moshi akishukiwa kuwa na ugonjwa hatari wa ebola.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo21 Oct
Tisa wawekwa chini ya karantini kwa Ebola
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/seif-rashid-july9-2013(3)(3).jpg)
Watu tisa wamewekwa chini ya karantini kutokana na kumhudumia mtu anayedaiwa kufariki kwa ugonjwa wa Ebola katika hospitali ya wilaya ya Sengerema, Mwanza mwishoni mwa wiki.
Idadi hiyo imefikia baada ya wafanyakazi watatu wa halmashauri ya wilaya ya Sengerema waliohusika kuuzika mwili wa mgonjwa huyo, Salome Richard (17), kuzuiwa kuchanganyika na wanajamii hadi vipimo halisi vitakapothibitisha ni ugonjwa gani uliomuua msichana huyo.
Salome alifariki usiku wa kumkia...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-1x_xczr4nrU/XmYMMD3zMFI/AAAAAAALiLU/h2_GqmgK-rwB99UCDuPSE2wW6F54LQw-QCLcBGAsYHQ/s72-c/4bk901ca36e9deexrp_800C450.jpg)
Zaidi ya wanajeshi elfu moja (1000) wa Israel wawekwa chini ya karantini kwa corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-1x_xczr4nrU/XmYMMD3zMFI/AAAAAAALiLU/h2_GqmgK-rwB99UCDuPSE2wW6F54LQw-QCLcBGAsYHQ/s640/4bk901ca36e9deexrp_800C450.jpg)
Televisheni ya al Alam imenukuu taarifa iliyotolewa na Aviv Kochavi, mkuu wa majeshi ya Israel akisema kuwa, utawala huo umechukua hatua hiyo ili kupunguza idadi ya wanajeshi wake waliokumbwa na virusi hatari vya corona.
Siku ya Ijumaa pia utawala wa Kizayuni ulitangaza kuwa, mwanajeshi yeyote wa utwaala huo hana ruhusa ya kuondoka kwenye...
10 years ago
BBCSwahili28 Oct
Ebola:Marekani yapinga karantini
Wafanyakazi wengi wa afya watachunguzwa kwa siku 21 kama wana dalili za Ebola lakini hawatatakiwa kutengwa.
10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Ebola:Muuguzi atishia kuvunja karantini
Muuguzi aliyewekwa chini ya karantini alipotoka kuwatibu wagonjwa nchini Sierra Leone ametishia kutoka nyumbani kwake.
10 years ago
BBCSwahili10 Oct
Ebola:Wanajeshi 1,300 karantini Liberia
Zaidi ya wanajeshi 1,300 wa Nigeria wanaofanya kazi chini ya kikosi cha Umoja wa Mataifa nchini Liberia wamewekwa Karantini
10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Ebola Marekani:Muuguzi apinga karantini
Muuguzi wa Marekani, ambaye alikuwa akihudumia wagonjwa wa Ebola nchini Sierra Leone, amepinga kuwekwa karantini
10 years ago
Vijimambo31 Oct
NESI WA EBOLA ALIYEWEKEWA KARANTINI KUFIKISHWA MAHAKAMANI
![Nurse Kaci Hickox rides away from the home she is staying in on a rural road in Fort Kent, Maine, to take a bike ride, Thursday, Oct. 30, 2014. Hickox went on an hour-long ride with her boyfriend Ted Wilbur, followed by state police who were monitoring her movements and public interactions.](http://www.theday.com/apps/pbcsi.dll/storyimage/NL/20141030/NWS13/141039991/AR/0/AR-141039991.jpg)
Mamlaka ya afya mji wa Fort Kent, Maine uliopo mpakani wa Canada wamesema watamfikisha mahakamani Nesi Kaci Hickox baada ya kuvunja karantini siku ya Alhamisi Oktoba 30, 2014 kwa kutoka nje ya nyumba yake na kuendesha baiskeli takribani saa moja.
Nesi Kaci Hickox aliwekewa karantini hiyo baada ya kurudi toka...
11 years ago
Mwananchi17 Jul
PSG yamweka sokoni Cavani
Manchester United, Chelsea na Arsenal watalazimika kutoa kiasi cha pauni 60 milioni kwa ajili ya kumsajili Edinson Cavani, kwa mujibu wa mtaalamu wa masuala ya soka wa Jarida la talkSPORT la Ufaransa, Julien Laurens.
10 years ago
Mwananchi04 Aug
Chadema yamweka pembeni Dk Slaa
Baraza Kuu la Chadema limeridhia Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa apumzike wakati chama hicho kikiendelea na mchakato wa Uchaguzi Mkuu baada ya kiongozi huyo kutofautiana nao katika uamuzi wa kumkaribisha Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania