Ebola:Marekani yapinga karantini
Wafanyakazi wengi wa afya watachunguzwa kwa siku 21 kama wana dalili za Ebola lakini hawatatakiwa kutengwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Ebola Marekani:Muuguzi apinga karantini
Muuguzi wa Marekani, ambaye alikuwa akihudumia wagonjwa wa Ebola nchini Sierra Leone, amepinga kuwekwa karantini
10 years ago
BBCSwahili17 May
Misri:Marekani yapinga Morsi kunyongwa
Marekani imeelezea kutoridhishwa kwake na kauli ya kuhukumiwa kunyongwa kwa aliyekuwa rais wa Misri Mohamed Morsi hapo jana.
10 years ago
BBCSwahili04 Mar
Iran:Marekani yapinga msimamo wa Israel
Rais Obama amepuuzilia onyo alilotoa waziri mkuu wa Israel kuhusu mpango wa Iran wa Nuclear ndani ya bunge la Marekani.
11 years ago
BBCSwahili22 Apr
Marekani yapinga uchaguzi wa Urais Syria
Msemaji wa Ikulu ya White House ametaja uchaguzi wa Urais uliopangwa kufanywa nchini Syria kama "Mzaha wa Demokrasia".
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Ebola yamweka chini ya karantini
Mtanzania aliyetoka nchini Senegal, Mkazi wa Uru, wilayani Moshi Vijijini, amewekwa chini ya karantini katika wodi maalumu ya Hospitali ya Mawenzi, mjini Moshi akishukiwa kuwa na ugonjwa hatari wa ebola.
10 years ago
BBCSwahili07 Sep
Ebola:MSF yapinga mpango wa Sierra L
Shirika la MSF laonyesha wasiwasi wake kuhusu mpango wa siku tatu wa kuwatenga raia Sierra leone ili kusitisha ueneaji wa Ebola.
10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Ebola:Muuguzi atishia kuvunja karantini
Muuguzi aliyewekwa chini ya karantini alipotoka kuwatibu wagonjwa nchini Sierra Leone ametishia kutoka nyumbani kwake.
10 years ago
BBCSwahili10 Oct
Ebola:Wanajeshi 1,300 karantini Liberia
Zaidi ya wanajeshi 1,300 wa Nigeria wanaofanya kazi chini ya kikosi cha Umoja wa Mataifa nchini Liberia wamewekwa Karantini
10 years ago
Vijimambo21 Oct
Tisa wawekwa chini ya karantini kwa Ebola
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/seif-rashid-july9-2013(3)(3).jpg)
Watu tisa wamewekwa chini ya karantini kutokana na kumhudumia mtu anayedaiwa kufariki kwa ugonjwa wa Ebola katika hospitali ya wilaya ya Sengerema, Mwanza mwishoni mwa wiki.
Idadi hiyo imefikia baada ya wafanyakazi watatu wa halmashauri ya wilaya ya Sengerema waliohusika kuuzika mwili wa mgonjwa huyo, Salome Richard (17), kuzuiwa kuchanganyika na wanajamii hadi vipimo halisi vitakapothibitisha ni ugonjwa gani uliomuua msichana huyo.
Salome alifariki usiku wa kumkia...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania