ECOBANK YASHIRIKI KILI MARATHON 2020
![](https://1.bp.blogspot.com/-YL8W7NEvB_A/XlzwTNSjmEI/AAAAAAALgXs/ZvIVRM_Dx-cwnoBy_RySOZnj1sKmY5urACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-02%2Bat%2B10.49.02%25281%2529.jpeg)
ECOBANK Tanzania imeshiriki mbio za Kilimanjaro Marathon kwa mwaka 2020 na kushiriki katika ukimbiaji wa mbio za Marathoni za kilomita 42.2 na mbio za nusu Marathoni za kilomita 21.1.
Katika mbio hizo mshiriki kutoka Ecobank Tanzania Tusekile Mwakyembe aliibuka kinara kwa kumaliza kukimbia mbio za kilomita 42.2 akitumia masaa matani na dakika 27 pekee.
Katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na Waziri mwenye dhamana ya utalii Dkt. Hamis Kigwangala amewapongeza washiriki na kuwashukuru waandaji...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziBenki ya Absa Tanzania yadhamini Kili Marathon 2020 kwa mafanikio
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-TwbZmfgbc80/XlvVL7av7FI/AAAAAAALgO4/jZdygkfFXmg2lxd3vQc_qJs80dAH1H4SACLcBGAsYHQ/s72-c/2dab86c8-950b-469d-88c7-d24ad93533b8.jpg)
MD wa SBL ashiriki mbio za Kilomita 21 Kili Half Marathon 2020 mjini Moshi
![](https://1.bp.blogspot.com/-TwbZmfgbc80/XlvVL7av7FI/AAAAAAALgO4/jZdygkfFXmg2lxd3vQc_qJs80dAH1H4SACLcBGAsYHQ/s640/2dab86c8-950b-469d-88c7-d24ad93533b8.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/781e28e9-dfd5-4861-9b40-14bb611c02f6.jpg)
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya bia ya Serengeti SBL, Mark Ocitti akikimbia na kufanikiwa kumaliza mbio za kilomita 21 za Kilimanjaro Marathon 2020 mjini Moshi leo. Tukutane Chui finishing line.
5 years ago
LetsRun.Com21 Feb
Ethiopia's Ababel Yeshaneh Upsets Brigid Kosgei and Smashes Half Marathon World Record at 2020 RAK Half Marathon
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Kili Marathon waongeza dau
11 years ago
TheCitizen03 Mar
Sakilu does TZ proud at the Kili Marathon
10 years ago
TheCitizen29 Jan
Bumper entry for Kili Marathon
9 years ago
TheCitizen19 Nov
Kili Marathon 2016 launched
11 years ago
TheCitizen20 Feb
Kili Marathon attracts hordes of runners
10 years ago
TheCitizen17 Feb
Kili Marathon route measured, ratified