Elimu iwakumbushe vijana faida na hasara za ukoloni (2)
Hoja yangu tangu wiki iliyopita ni kuwakumbusha vijana kufahamu vyema historia yao hasa kuhusu ukoloni na athari zake, ili wajipange vyema kutumia fursa zilizopo na kuendeleza jamii zao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Mar
Mugabe: Vijana pingeni ukoloni mamboleo
Arusha. Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ametoa wito kwa vijana barani Afrika kupinga dhana ya ukoloni mamboleo pamoja na kulinda rasilimali zilizopo ndani ya bara hili kwa masilahi ya vizazi vijavyo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3pbaBKayUO8MGpgMaSuJoQ3pu2FxjcIePmToRnslBkDuj4cznfp8I6YETbxzE18tm2LrioHTNB3sHyXprU-ImTLzdLkRkE1V/Latinostudentgroup.jpg?width=650)
FAIDA NA HASARA YA LIKIZO NA MUONGOZO WAKE-2
ITAKUMBUKWA kuwa mada hii tulianza nayo wiki iliyopita ambapo tulitazama baadhi ya dokezo muhimu za kuzingatia kwenye likizo, na mwisho tukakomea kwenye kifungu hiki: Mwanafunzi wangu, naamini utakuwa na swali juu ya mada hii: “Nifanye nini katika kipindi cha likizo ili nipate faida zote mbili?†Jibu liko kwenye vidokezo vitatu, KWANZA ni kwako mwanafunzi kujitambua, PILI kwa mwalimu wako na TATU kwa wazazi. Leo...
10 years ago
Mwananchi22 Mar
Faida na Hasara za majibizano katika mahusiano
Sidhani kama kuna ambaye hajawahi kujikuta kwenye majibizano na mpenzi wake. Hata wakati mnaingia katika mlipuko wa majibizano hata mnashindwa kujua sababu ya kujibizana kwenu.Vitu kama vile mmoja kuchelewa kurudi nyumbani, kushindwa kuwasiliana sawa na mwingine alivyotarajia, kushindwa kutoa msaada pale ulipohitajika, hisia za kuwapo kwa mahusiano pembeni, tabia zisizoeleweka baina ya mmoja na simu yake ya mkononi au ndugu zenu kuingilia uhusiano wenu kwa namna yoyote ile.
11 years ago
Mwananchi27 Jan
Faida, hasara usajili ghali wa Man U
Wiki iliyopita, kocha wa zamani wa Manchester United, Alex Ferguson alisema timu sita ikiwamo Manchester United ndiyo zenye nafasi kubwa ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya England ingawa hakuitaja Liverpool.
9 years ago
Mwananchi05 Sep
Wasanii kujihusisha na siasa, ni faida ama hasara?
Muziki hauna dini, umri, jinsi, kabila wala itikadi vivyo hivyo katika sanaa ya uigizaji. Bado wengi wanajiuliza maana halisi ya muziki, lakini Kamusi Sanifu ya Kiswahili imeeleza kuwa ni muziki ni mpangilio wa ala na uimbaji unaoleta athari fulani kwa kiumbe.
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Faida na hasara za kuuza hisa wakati wa gawio
Kuanzia mwezi ujao kampuni nyingi ambazo zimeorodheshwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) zitaanza kutoa taarifa zao za fedha kwa umma kupitia magazeti mbalimbali, taarifa hizo zinakuwa ni za kuanzia mwaka wa fedha ulioishia 31 Desemba 2013.
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Faida na hasara za Serikali ya Magufuli kubana matumizi
Takribani mwezi mmoja baada ya Rais John Magufuli kuingia madarakani, mambo mengi ameyafanya yakiwamo yanayoshangaza.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TARUKDkBK7q1qV2InaM2r6s0EuzZOZB7vxSymLsj1U3OOkjNdAg3xE-pa0Y3d0xpP2EQ0w75FdT*6QVp6sG2uLjTqlCUrZtl/faida.jpg)
FAIDA, HASARA ZA WAPENZI KUFANYA KAZI OFISI MOJA
Ni Ijumaa nyingine nzuri ninapokukaribisha msomaji wangu katika zulia jekundu la uwanja wetu huu ambao ni maalum kwa mambo yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Mada ambayo ningependa kujadiliana nawe msomaji wangu ni kama inavyojieleza kwenye kichwa cha habari. Yawezekana wewe ni mwanaume au mwanamke ambaye unafanya kazi na umpendaye, awe ni mke, mchumba au mpenzi. Je, kuna faida gani unazozipata kutokana na kufanya kazi ofisi moja na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j-DiiE-nbb9aUnvOUxlX2LaeHEnGbWV6FIBSalNvAvlmLeXT7Xr0nOJa4jA7WYEs23h4g3fE9Jvkmg8BLRPwKV6zz7RgznLj/MAHABA.jpg)
FAIDA, HASARA ZA WAPENZI KUFANYA KAZI OFISI MOJA -2
Mada iliyopo mezani ni faida na hasara za wapendao kufanya kazi ofisi moja ambayo tulianza kuijadili wiki iliyopita. Uhali gani msomaji wangu? Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vizuri na majukumu ya ujenzi wa taifa. Karibu tena kwenye busati letu ambapo tunajuzana mambo mbalimbali yahusuyo mapennzi. Wiki iliyopita, tulijadili changamoto mbalimbali wanazokutana nazo wanandoa au wawili wapendanao wanaofanya kazi kwenye ofisi...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania