Emmanuel Adebayor afunguka alivyotendwa na familia yake.
Miezi michache tu baada ya kumlaumu mamake mzazi kwa kumroga,Emmanuel Adebayor amefichua hadharani familia yake ilivyomfilisi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tZHhhMhD8MBTZAla8n8zHIc*ttVdGy5N4E74bE4EUbHJLeNN1plWrLxkD8w9yPoaeK8B-wIN-EPcYHDNy1mxM0YNQuQDs1Ip/ADEBAYOR.jpg?width=550)
SAKATA LA ADEBAYOR NA FAMILIA YAKE: ADEBAYOR KUMWAGA 'UBUYU' MWINGINE WA MDOGO WAKE ROTIMI
Adebayor ametupia picha hii Facebook na kuahidi kutoa sehemu ya 2 ya stori ya kaka yake Rotimi. SAKATA la straika wa Klabu ya Tottenham ya nchini Uingereza, Emmanuel Adebayor na familia yake limechukua sura mpya ambapo staa huyo ameahidi kutoa sehemu ya pili ya stori 'ubuyu' mwingine kuhusu kaka yake mwingine aitwaye Rotimi Adebayor muda muafaka ukifika. Adebayor ameahidi kutoa ubuyu huo ikiwa ni siku chache tangu aachie waraka...
10 years ago
GPLPART II YA SAKATA LA ADEBAYOR NA FAMILIA YAKE; AMCHANA MDOGO WAKE AITWAYE ROTIMI, KUTOKA PART III HIVI KARIBUNI
Emmanuel Adebayor akiwa na mdogo wake Rotimi Adebayor. KAMA alivyoahidi, staa wa Klabu ya Tottenham ya England ambaye ni raia wa Togo, Emmanuel Adebayor jana ameachia sehemu ya pili inayohusu sakata lake na familia yake. Katika sehemu hii, Adebayor amemuelezea kaka yake aitwaye Rotimi. Na hivi ndivyo alivyomwaga ubuyu kupitia ukurasa wake wa Facebook ambapo ameahidi pia kutoa sehemu nyingine ya tatu hivi karibuni: Hii ni...
9 years ago
Bongo514 Sep
Emmanuel Adebayor aondoka rasmi Tottenham
Mshambuliaji wa kilabu ya Tottenham na timu ya taifa ya Togo Emmanuel Adebayor 31 hatimaye ameondoka rasmi katika klabu hiyo baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Mchezaji huyo alikuwa hajaichezea Spurs msimu huu na alikuwa amewachwa katika vikosi vya kucheza ligi ya Uingereza pamoja na ile ya Yuropa. ”Tunamuombea mema katika maisha yake ya […]
5 years ago
Daily Mail25 Mar
Coronavirus: Former Arsenal striker Emmanuel Adebayor stranded in Benin and will have to isolate
Coronavirus: Former Arsenal striker Emmanuel Adebayor stranded in Benin and will have to isolate Daily MailView Full coverage on Google News
5 years ago
BBC19 Feb
Emmanuel Adebayor: Togo veteran explains reasons for Paraguay move
Togo's Emmanuel Adebayor says his ex-team-mate Roque Santa Cruz and the six-year-old son of Olimpia's club president convinced him to move to Paraguay.
5 years ago
Football.London12 Mar
Former Arsenal and Tottenham man Emmanuel Adebayor apologises after 'Jackie Chan' red card
Former Arsenal and Tottenham man Emmanuel Adebayor apologises after 'Jackie Chan' red card Football.LondonManchester City star provides insight into what makes Mikel Arteta a great manager Just Arsenal NewsArsenal: The crazy schedule ramifications from Man City postponement Pain In The ArsenalFantasy Premier League double gameweek: When is the next double gameweek? ExpressEmmanuel Adebayor is sent off for a KARATE KICK while playing for Paraguyan side Olimpia Daily MailView Full...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LDRZ*VdxUTG3P7mAsrJHPMh9ZBsz5EEVNkD*5OpmDq7bpZYQRbM1eiO7zB42DDYZa7pDPiHoGFVNtwxDLMP1v6Bi3cyQaUwy/ADEBAYOR1.jpg)
EMMANUEL ADEBAYOR AWATOLEA UVIVU NDUGU ZAKE, ATUMA UJUMBE MZITO FACEBOOK AKIELEZA MAZURI ALIYOWAFANYIA
Ujumbe alioutuma Adebayor uliambatana na picha hii. STRAIKA wa Tottenham Hotspur, Emmanuel Adebayor amewatolea uvivu ndugu zake ambao wamekuwa wakimwandama kwamba hawapi msada wowote mbali na utajiri mkubwa alionao. Adebayor akipozi na mama yake mzazi. Adebayor ameamua kuandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa Facebook akikana tuhuma ambazo amekuwa akitupiwa na ndugu zake huku akiweka wazi mambo yote mazuri aliyoitendea...
10 years ago
Vijimambo07 May
EMMANUEL ADEBAYOR AWATOLEA UVIVU NDUGU ZAKE, AWATUMA UJUMBE MZITO KUPITIA FACEBOOK JITIRIRIKIE HAPO CHINI
![](http://api.ning.com/files/LDRZ*VdxUTHq6kh*YmWuM4XVW-X0fFUN6E5huDhEWkflZjcnopxdLB1rZHYF0SDzxmTgUEiOwAh4RYVvoUS*E1y1lpqlTHP9/adebayor.jpg)
Adebayor ameamua kuandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa Facebook akikana tuhuma ambazo amekuwa akitupiwa na ndugu zake huku akiweka wazi mambo yote mazuri aliyoitendea familia yake.
Staa huyo pia aliwahi kukana tuhuma alizotupiwa na dada yake kwamba alimfukuza mama yaka mzazi kwenye nyumba yake kwa tuhuma za ushirikina...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_PfaARdecWo/Vj7-4cmt_II/AAAAAAAIE3I/ILyR87-Udo0/s72-c/unnamed%2B%252862%2529.jpg)
Mshindi wa Jaymillions na mafanikio yake: Ajenga nyumba ya kisasa na kuishi na familia yake goba, kufungua biashara
Mmoja ya washindi wa kitita cha shilingi Milioni 100 kupitia promosheni ya Jaymillions iliyokuwa inaendeshwa na Vodacom Tanzania iliyomalizika mwezi Aprili mwaka huu Irene Mrema, amesema tangu aibuke na ushindi amepata mafanikio makubwa mojawapo ikiwa ni kuweza kujenga nyumba ya kuishi na familia yake maeneo ya Goba nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. “Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunikwamua kimaisha kupitia Jaymillion ya Vodacom kwa kuwa imeleta mafanikio makubwa katika maisha yangu na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania