Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ephraim Sekeleti kimeeleweka Tamasha la Pasaka

MUIMBAJI wa muziki wa Injili raia wa Zambia, Ephraim Sekeleti, naye amepata nafasi ya kushiriki kwenye Tamasha la Pasaka linalotarajiwa kuanza Aprili 20 jijini Dar es Salaam. Sekeleti, mmoja wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Ephraim Sekereti naye achomoza Tamasha la Pasaka

MUIMBAJI wa muziki wa Injili raia wa Zambia, Ephraim Sekeleti naye amepata nafasi ya kushiriki kwenye tamasha la Pasaka linalotarajia kuanza Aprili 20 jijini Dar es Salaam.
Sekeleti ni mmoja wa waimbaji wa muda mrefu katika tamasha hilo amekubali kushiriki kwa sababu ana kiu ya kufikisha ujumbe wake kwa Watanzania.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions ambao ni waandaaji wa tamasha hilo, Alex Msama taratibu za kuwapata waimbaji mbalimbali watakaoshiriki katika tamasha hilo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

EPHRAIM SEKELETI : Mwimbaji Injili Mzambia anayeihusudu Tanzania

JINA la Ephraim Sekeleti Mutalange si geni masikioni na machoni pa wengi si kutokana na umaarufu wake katika uimbaji na utungaji wa vibao vilivyobeba ujumbe murua, pia uwezo wake wa...

 

9 years ago

Michuzi

Sekeleti achomoza Tamasha la Krismasi, kushukuru

indexMWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili Afrika Mashariki na Kati, Ephraim Sekeleti amethibitisha kuwa mmoja wa waimbaji watakaopanda jukwaa la Tamasha la Krismasi na kushukuru linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama Sekeleti amekubali kuwa mmoja wa waimbaji wa Kimataifa watakaopanda jukwaa la Shukrani ambalo litakuwa katika Sikukuu ya kumbukumbu ya kuzaliwa Masia,...

 

11 years ago

Michuzi

KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA KUFANYA TAMASHA LA PASAKA LINA'S CLUB, PASAKA PILI NI KATIKA MJI WA BIHARAMULO

Kikundi mahiri cha KAPOTIVE Star Singers- Bukoba,Wanayo furaha kuwatangazia kuwa kwa mapenzi ya Mungu, Tar. 20/04/2014 sikukuu ya Pasaka watakuwa na tamasha la Pasaka LINA’S CLUB -Bukoba, kuanzia saa 9 mchana hadi 2 usiku na kesho yake tar. 21/04/2014 Watakuwa katika mji wa Biharamulo. 
 Mratibu wa Tamasha hilo Bw. Andrew Kagya amesema kuwa Mwimbaji mgeni (Guest singer) atakuwa Flora Mbasha na kundi lake zima kutoka jijini Dar es Salaam na pia Kutakuwepo kwaya mbalimbali za RC, KKKT na...

 

10 years ago

Mwananchi

Tamasha la Pasaka lasifiwa

Wakati viingilio vya tamasha la Pasaka vikiwekwa wazi, Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA) kimesema Tamasha la Pasaka ni kubwa na lililo na heshima Tanzania na Afrika yote kwa sababu linafikisha ujumbe wa neno la Mungu kwa Waafrika wote.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miaka 14 ya Tamasha la Pasaka

TAMASHA la Pasaka mwaka huu linatarajiwa kufikisha miaka 14 tangu kuanzishwa kwake na Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam. Tangu kuanzishwa kwa tamasha hilo, Watanzania wameweza kujumuika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani