EQUATORIAL GUINEA MWENYEJI AFCON 2015‬

SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika (CAF) limeitangaza Equatorial Guinea kuwa mwenyeji wa michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2015 baada ya Morocco kukataa kuandaa michuano hiyo kwa hofu ya kusambaa kwa ugonjwa wa Ebola. CAF imeiondoa kabisa Morocco katika timu zitakazoshiriki na sasa nafasi yake inachukuliwa na Equatorial Guinea ambayo mwaka 2012 iliandaa mashindano hayo kwa kushirikiana na Gabon. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
TASWIRA ZA VURUGU ZA MASHABIKI WAKATI WA MECHI YA NUSU FAINALI AFCON KATI YA GHANA NA EQUATORIAL GUINEA
10 years ago
Vijimambo06 Feb
GHANA 3-0 EQUATORIAL GUINEA AFCON 2015 GHANA KUCHEZA NA IVORY COAST FINAL JUMAPILI.



10 years ago
BBC
Gabon 0-2 Equatorial Guinea
10 years ago
BBC16 Jan
Equatorial Guinea v Congo
10 years ago
BBC
Tunisia v Equatorial Guinea
10 years ago
BBC
Ghana v Equatorial Guinea
12 years ago
BBC
Equatorial Guinea profile
10 years ago
BBC
VIDEO: Inequality in Equatorial Guinea