GHANA 3-0 EQUATORIAL GUINEA AFCON 2015 GHANA KUCHEZA NA IVORY COAST FINAL JUMAPILI.
wachezaji wa Ghana wakishangilia ushindi na kutinga fainali baada ya kuwakunja wenyewe Equatorial Guinea 3-0 kwaiyo sasa Ghana kukutana na Ivory Coast tarehe 8 kwenye fainali.
Baada ya kipenga cha mwisho wenyewe wa mashindano hayo ya AFCON walikuwa wamekubali kipigo cha magoli matatu ndipo washabiki walivyoanzisha timbwili hili uwanjani hapo.
Hali ilionekana siyo shwari toka kipindi cha kwanza pale Ghana walivyo pewa penati ya mapema hii hapa ilikuwa baada ya dk 45 za kwanza washabiki...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog09 Feb
Ivory Coast yatwaa ubingwa kombe la AFCON 2015 kwa kuichapa Ghana 9-8
Ivory Coast v Ghana Photograph: Khaled Desouki/AFP/Getty Images
And Barry scores!!!!! IVORY COAST ARE 2015 AFRICA CUP OF NATIONS CHAMPIONS.
What an amazing way to finish it. They could not be separated after 90 minutes. They could not be separated after an additional 30. The regular five penalties could not separate them either and it went all the way to the goalkeepers in sudden death. Braimah had his saved by Barry, who then stepped up to score the deciding kick.
Congratulations to Ivory...
10 years ago
GPL
TASWIRA ZA VURUGU ZA MASHABIKI WAKATI WA MECHI YA NUSU FAINALI AFCON KATI YA GHANA NA EQUATORIAL GUINEA
10 years ago
BBC
Ghana v Equatorial Guinea
10 years ago
BBCSwahili08 Feb
Fainali:Ghana kumenyana na Ivory Coast
10 years ago
GPL
IVORY COAST BINGWA AFCON 2015
10 years ago
Mwananchi09 Feb
AFCON: Ivory Coast wafalme wa Afrika 2015
10 years ago
GPL
IVORY COAST YATINGA FAINALI AFCON 2015
10 years ago
Bongo509 Feb
Picha: Ivory Coast yatwaa kombe la AFCON 2015