Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Etihad Airways wazindua safari Dar

SHIRIKA la ndege kutoka Falme za Kiarabu (Etihad Airways), limezindua safari za kila siku kutoka Abu Dhabi hadi Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye hafla ya uzinduzi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la ndege la Etihad Airways litaongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku ya mji wa Dar es Salaam

 

etihad

Shirika la ndege la Etihad Airways (http://www.etihad.com) ni  shirika la ndege la kitaifa la Umoja wa Falme za Kiarabu, ambalo linatarajia kuongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku Mjini Dar es Salaam, mji mkubwa zaidi Tanzania.

Safari hizi za ndege kati ya Abu Dhabi na Dar es Salaam, zitaanza tarehe 1 mwezi Desemba 2015, zikiendeshwa kwa kutumia ndege ya Airbus A320 yenye viti 16 vya kitengo cha Biashara na 120 vya kitengo cha Uchumi.

Dar es Salaam itakuwa...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

TheCitizen

Etihad Airways to launch Dar flights

>Etihad Airways, the national airline of the United Arab Emirates (UAE), will expand its African route network with the launch of a daily service to Dar es Salaam, the largest city in Tanzania.

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la ndege la ETIHAD laendelea kukuza wigo wake Afrika Mashariki baada ya kuzindua huduma za safari za ndege kati ya Dar Es Salaam na Abu Dhabi

CAMPIX PRODUCTION

Ndege iliyozinduliwa na Shirika la Ndege la Etihad ilipowasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam na kupokelewa na magari ya zimamoto kwa kumwaga maji kuashiria uzinduzi rasmi wa Safari za ndege za shirika la ndege la Etihad lenye makao makuu Abudhabi. Uzinduzi huo unatoa fursa sasa kwa watanzania kusafiri moja kwa moja kutoka Dar es salaam mpaka Abudhabi kila siku.

UAE Ambassador to Tanzania Abdullah Ibrahim Al Suwaidi (R) welcomes Etihad Airways’ Senior Vice President - Global Sales, Daniel Barranger (L) upon the arrival of Etihad Airways’ inaugural flight to Tanzania at Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam on Tuesday December 1, 2015. PHOTO | FARAJA JUBE

Makamu wa Rais- Mauzo ya Kimataifa wa shirika la ndege la Etihad Bw. Daniel Barranger akisalimiana...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya Airways yarudisha safari za S.Leone

Shirika la ndege la Kenya limeanza tena kusafirisha wateja wake baina ya miji ya Nairobi na Freetown nchini Sierra Leone.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya Airways yapunguza safari zake TZ

Kenya, Kenya Airways limeanza rasmi kupunguza safiri zake katika uwanja wa ndege wa Dar es Salaam kufuatia agizo la serikali ya TZ

 

9 years ago

Global Publishers

Etihad Kusambaza Boeing 787s kwa Safari Zake Tofauti Mwaka 2016‏

Etihad Airways' Boeing 787 set to fly to five further destinations in 2016Shirika la ndege la Etihad, ndege rasmi ya taifa kwa Falme za kiarabu limetangza kuanzisha mipango ya kurusha ndege aina ya boeing 787s kwa safari za kwenda Dusseldorf, Perth, Shanghai, Istanbul na Johannesburg kwa mwa mwaka 2016.

Matarajio ya kuwasili kwa ndege hizo mpya aina ya Boeing 787s ni ndani ya miezi saba ijayo, kuanzia Mei 2016, ndege hizo “Dreamliners” zenye uwezo wa kubeba abiria 299 zitaanza kutoa huduma kwenda Dusseldorf, Perth, Shanghai, Istanbul na Johannesburg kutoka Abu...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: MAGARI YA KITALII YA TANZANIA RUKSA KUINGIA UWANJA WA JOMO KENYATTA, NA SAFARI ZA KENYA AIRWAYS KUENDELEA KUWA 42

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu makubaliano ya pamoja yaliyofikiwa kati ya  Serikali za Tanzania na Kenya juu ya kuruhusu tena magari ya kitalii ya Tanzania kuingia Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta na kurudisha idadi ya awali ya safari za ndege za Kenya ambazo ni 42. Sehemu ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Waziri MembeSehemu ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara  ya Mambo ya...

 

9 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LATANGAZA KUSAMBAZWA KWA BOEING 787S KWA SAFARI ZAKE MWAKA 2016

SHIRIKA la ndege la Etihad, ndege rasmi ya taifa kwa Falme za kiarabu limetangza kuanzisha mipango ya kurusha ndege aina ya boeing 787s kwa safari za kwenda Dusseldorf, Perth, Shanghai, Istanbul na Johannesburg kwa mwa mwaka 2016.
Matarajio ya kuwasili kwa ndege hizo mpya aina ya Boeing 787s ni ndani ya miezi saba ijayo, kuanzia Mei 2016, ndege hizo “Dreamliners” zenye uwezo wa kubeba abiria 299 zitaanza kutoa huduma kwenda Dusseldorf, Perth, Shanghai, Istanbul na Johannesburg kutoka Abu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani