EU looks to reset relations with Africa as record number of Commissioners visit Addis Ababa
EU looks to reset relations with Africa as record number of Commissioners visit Addis Ababa EuronewsAU chief flags disputes over gay rights, justice in EU talks The Citizen DailyLargest-ever delegation from EU meets Africa Anadolu AgencyView Full coverage on Google News
Euronews
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
TANZANIA YAONGOZA MJADALA WA WAZI (OPEN SESSION) WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA KUHUSU WATOTO NA VITA BARANI AFRIKA (CHILDREN AND ARMED CONFLICTS IN AFRICA) JIJINI ADDIS ABABA

10 years ago
Vijimambo
STARS YAJIFUA ADDIS ABABA

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhamini na kampuni ya bia ya Kilimanjaro, leo imeanza mazoezi katika uwanja wa Addis Ababa zamani ukifahamka kama (Haille Sellsie) uliopo jijini Addis Ababa kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri utakaopigwa Juni 14,...
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
Oromia Wapinga upanuzi wa Addis Ababa
Upanuzi wa jiji la Addis Ababa umekabiliwa na maandamano ya wenyeji wanaopinga kupokonywa ardhi yao
10 years ago
BBC
VIDEO: All aboard the Addis Ababa tram
What lessons can other African cities learn from Ethiopia's state-of-the-art tram system?
10 years ago
Vijimambo
STARS YAENDELEA KUJIFUA ADDIS ABABA

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, (Taifa Stars) kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro kimeendelea kujifua katika uwanja wa Benki ya Biashara ya Ethiopia eneo la CMC asubuhi na jioni katika uwanja wa Taifa wa Addis Ababa. Stars ambayo imeweka kambi jijini Addis Ababa imekua ikijifua mara mbili kwa siku, kuhakikisha wachezaji wanakua vizuri kuelekea katika mchezo dhidi ya timu ya Taifa Misri mwishoni mwa wiki hii jijini Alexandria.

10 years ago
Michuzi
STARS YAENDELEA KUJIFUA JIJINI ADDIS ABABA

Stars ambayo iliwasili jana jioni jijini Addis Ababa imefikia katika hoteli ya Debre Damo iliyopo eneo na 22 Mazoiria ambapo itakaa kambi kwa kipindi cha wiki moja kujiandaa na mchezo dhidi ya Mapaharao.
Kocha Mkuu wa...
11 years ago
Michuzi.jpg)
UBALOZI WA TANZANIA ADDIS ABABA WASHEREHEKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Bongo523 Sep
Ethiopia wazindua treni ya kisasa mjini Addis Ababa
Huduma ya treni ya kisasa imezinduliwa rasmi September 21 jijini Addis Ababa, Ethiopia. Mradi huo mkubwa uliogharimu dola za kimarekani milioni 470 ulifadhiliwa na China Exim. Siku ya Jumapili ilikuwa nzuri kwa wakazi wa Addis Ababa kwani walipata usafiri wa bure wakati wa uzinduzi wa treni hiyo ya kisasa. Treni hiyo itakuwa ikibeba watu 15,000 […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania