Ewura yafungia kituo pekee cha mafuta
Kituo cha kuuza mafuta wilayani Misungwi, mkoani Mwanza, kimefungwa na Mamlaka ya Udhibiti Nishati na Maji (Ewura) hadi kitakapokamilisha ujenzi wa paa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Ewura yafungia kampuni saba za mafuta
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Ewura yafungia vituo sita Mbeya
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imevifungia kufanya biashara ya mafuta vituo sita katika wilaya za Chunya, Mbozi na Momba, mkoani Mbeya, kutokana na kukiuka masharti...
10 years ago
VijimamboMamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), imepunguza bei za mafuta kote nchini
5 years ago
MichuziEWURA yapewa siku 10 kupitia bei za mafuta katika maghala ya kuhifadhi na kupokea mafuta.
Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.
Shehena ya Mafuta ikiwa imepakiwa katika matangi tayari kwa kusafirishwa,hapa ni katika ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP mkoani Tanga, Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani, alifanya ziara katika eneo hilo, Mei 10,2020.
Baadhi ya mapipa makubwa ya kuhifadhia mafuta...
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege jijini Dar Es Salaam watekeleza agizo la Rais kwa kufanya usafi
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Brown Francis akishiriki kufanya usafi katika kituo hicho ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dk.John Magufuli kuwa maadhimisho ya Siku ya Uhuru 2015 yatumike kwa kufanya usafi nchini kote.
Meneja wa Kituo hicho, Shadrack Mwamaso naye akishiriki kufanya usafi.
Hapa usafi ukiendelea.
Hapa ni kazi usafi ukifanyika.
Ni kama anaongea ‘Ngoja nikazitupe taka taka hizi eneo...
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MAFUTA YA PANONE YAWAKUMBUKA WATOTO WANAOLELEWA KATIKA KITUO CHA GABRIELA CHA MJINI MOSHI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
MichuziKAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA VILAINISHI VYA CASTROL NA KITUO CHA MAFUTA CHA OYSTERBAY, DAR
5 years ago
MichuziTAKUKURU MANYARA YAMPANDISHA MAHAKAMANI MMILIKI WA KITUO CHA MAFUTA CHA SIMON LEMEYA KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Simanjiro, Manyara kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka itamfikisha katika Mahakama ya Wilaya mmiliki wa Kituo cha mafuta cha Simon Lemeya kwa makosa ya uhujumu uchumi.
Lemeya atafikishwa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro leo Juni 22 kwa makosa ya kughushi, matumizi ya nyaraka, kudanganya na kuisababishia serikali hasara ya Sh Milioni 5,609,000 kinyume cha sheria ya uhujumi uchumi Cap 200 marejeo ya...
10 years ago
StarTV08 Jan
Washukiwa Ufaransa wapora kituo cha mafuta.
Washukiwa wa mauaji ya wachora vibonzo nchini Ufaransa, wanadaiwa kufanya wizi katika kituo cha mafuta Kaskazini mwa Ufaransa huku wakiwa mbioni kutorotoka polisi.
Inaarifiwa washukiwa hao wawili ambao ni mandugu, waliiba chakula na petroli huku wakifyatua risasi karibu na eneo la Villers-Cotterets.
Watu nchini ufaransa wamesimama kimya kwa dakika moja kwa heshima ya watu 12 waliouawa na watu wenye silaha walipovamia gazeti moja la vichekesho la Charlie Hebdo siku ya Jumatano
Huku polisi...