Ewura yafuta leseni za kampuni tisa
BODI ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imefuta leseni za kufanya biashara ya mafuta kwa jumla kwa kampuni tisa zinazojihusisha na biashara hiyo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Kenya yafuta leseni za wakala wa riadha
AK imewapiga marufuku Federico Rosa wa Italia na Gerald Vandeveen wa Uholanzi kwa miezi sita wakishukiwa kuhusika na dawa za kuongeza nguvu
10 years ago
Michuzi
MAKALA SHERIA: HAITOSHI KUUNDA KAMPUNI, LAZIMA UWE NA LESENI YA BIASHARA, HII NI NAMNA YA KUPATA LESENI YA BIASHARA

Katika makala iliyopita nilisema kuwa vijana wengi wajasiriamali wanaofungua biashara za makampuni wanao uwezo mkubwa wa kufika mbali isipokuwa tatizo lao ni taarifa za mambo mbalimbali kuhusu uendeshaji wa kampuni hizo.
Mambo ya uendeshaji wa kampuni ni mepesi sana na yanawezwa na mtu yeyote isiopokuwa tatizo ni taarifa na elimu ya namna ya uendeshaji kisheria ili kampuni ionekane ni kampuni. Nilieleza...
10 years ago
Michuzi
KAMPUNI YA SWALA YAGAWA UMILIKI WA ASILIMIA 25 ZA RIBA YA LESENI KWA KAMPUNI YA TATA PETRODYNE LIMITED

11 years ago
Mwananchi30 Apr
Ewura yafungia kampuni saba za mafuta
 Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imezifutia leseni za kufanya biashara ya mafuta Kampuni tisa nchini.
10 years ago
MichuziBODI YA MICHEZO YA BAHATI NASIBU YAKABIDHI LESENI KWA KAMPUNI YA MURHANDZIWA KUENDESHA MICHEZO HIYO
10 years ago
Michuzi30 Mar
9 years ago
Habarileo05 Jan
Mafuriko yafuta familia
WATU wanane akiwemo Msaidizi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP), Gerald Ryoba pamoja na familia yake, wamekufa maji baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji katika mkondo mpana wa mto unaotenganisha Kibaigwa na Pandambili, mkoani Dodoma.
9 years ago
BBCSwahili04 Jan
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Serikali yafuta vyuo vitatu
Baraza la Taifa la Elimu la Ufundi (Nacte) limefuta usajili wa vyuo vitatu na kuvishusha hadhi vingine 16 kutokana na kukiuka masharti ya usajili.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
19-February-2025 in Tanzania