Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yafuta vyuo vitatu

Baraza la Taifa la Elimu la Ufundi (Nacte) limefuta usajili wa vyuo vitatu na kuvishusha hadhi vingine 16 kutokana na kukiuka masharti ya usajili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NACTE YAVIFUTIA USAJILI VYUO VITATU (3) NA KUVISHUSHA HADHI VYUO KUMI NA SITA (16)

Vyuo vilivyofutiwa usajili ni pamoja na Dar es Salaam College of Clinical Medicine cha jijini Dar es Salaam kilichokuwa kimepatiwa usajili wa awali, Ndatele School of Medical Laboratory Sciences cha Dar-es-Salaam kilichokuwa kimepatiwa usajili wa awali na Institute for Information Technology  cha jijini  Dar es Salaam pia chenye namba za usajili REG/EOS/014. 
Taassi/vyuo vilivyoshushwa hadhi  baada ya kushindwa kutiza mashart ni pamoja na Sura Technologies – Dar es Salaam,  Institute of...

 

10 years ago

GPL

NACTE YAVIFUTIA USAJILI VYUO VITATU (3) NA KUVISHUSHA HADHI VYUO KUMI NA SITA (16)‏

HOTUBA YA KAIMU KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) DKT ADOLF B. RUTAYUGA KUHUSU TAMKO LA BARAZA LA KUVIFUTIA USAJILI BAADHI YA VYUO NA KUVISHUSHA HADHI VINGINE - 24/06/2015 Ndugu waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari, ninayo furaha kubwa kuwakaribisha katika ofisi za Baraza. Lengo la kuwaita hapa leo ni kuwapa taarifa juu ya maamuzi yaliyofikiwa na Baraza ikiwa ni katika jitihada za...

 

10 years ago

StarTV

NACTE yafuta usajili wa vyuo 13, 60 vyashushwa hadhi.

Na Grace Semfuko,

Dar es Salaam.

 

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi NACTE limefuta usajili wa vyuo 13 na kuvishusha hadhi vyuo 60 ambavyo vimekiuka sheria ya usajili.

 

Vyuo vingine vimebainika kutoa mitaala isiyosajiliwa na vyuo hivyo na vingine kutokuwa na sifa za kuendesha mafunzo ya ufundi.

 

Baraza hilo lenye mamlaka ya kusimamia elimu ya ufundi nchini limesema bado linavifanyia uchunguzi vyuo vingi nchini ili kuona kama vina tija ya kuendelea kutoa elimu inayokidhi mahitaji ya soko...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yafuta daraja la 4 kusomea ualimu

Dar es Salaam. Serikali imesema ili kukabiliana na tatizo la kuwa na walimu waliofeli mitihani ya sekondari kuanzia mwaka huu itaanza kuwasomesha bure wanafunzi waliofaulu, wanaotaka kwenda kusomea shahada ya elimu.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yafuta umiliki wa mashamba ya wawekezaji

>Serikali imefuta umiliki wa baadhi ya mashamba yaliyokuwa yanamilikiwa na wawekezaji na kuyakabidhi kwa wananchi.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yafuta sherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya uhuru

Serikali imefuta sherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya uhuru wa tanganyika na badala yake siku hiyo kwa mwaka huu itatumika kufanya usafi nchini kote kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.

Agizo la serikali la kufuta maadhimisho hayo mwaka huu, limetolewa na rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dakta john pombe magufuli, kupitia katibu mkuu kiongozi, ombeni sefue.

Hii ni mara ya kwanza kwa serikali kufanya hivyo katika siku ya uhuru ambayo huadhimishwa disemba tisa kila mwaka...

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yafuta ‘semina elekezi’ kwa madiwani

SERIKALI imesema mafunzo kwa ajili ya madiwani wote hayatakuwepo na badala yake wenyeviti na makamu wa wenyeviti kote nchini ndio watapatiwa mafunzo ya namna ya kusimamia halmashauri zao.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yasikia kilio cha wabunge, yafuta misamaha ya kodi

>Waziri ya Fedha, Saada Salum Mkuya jana aliwasilisha Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2014, ambao umefuta misamaha ya kodi katika maeneo yaliyokuwa yakilalamikiwa na watu wa kada mbalimbali nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.

Huyu si ndiyo alisema ni raisi wa wanafunzi na sauti zao hapa chini iweje leo waandike barua ya kujikana?. Siasa za bongo ni chenga kweli yani wala siyo {HD}

Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani