Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yafuta ‘semina elekezi’ kwa madiwani

SERIKALI imesema mafunzo kwa ajili ya madiwani wote hayatakuwepo na badala yake wenyeviti na makamu wa wenyeviti kote nchini ndio watapatiwa mafunzo ya namna ya kusimamia halmashauri zao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

EXCLUSIVE: “Serikali yafuta vikwazo vyote kwa Madereva Nchini..magari yaanza safari muda huu

waziri KabakaWaziri wa Kazi na Ajira nchini, Gaudensia Kabaka akiongea na madereva kwa kutumia kipaza sauti mapema mchana huu na kufuta baadhi ya vikwazo walivyokuwa wakivipinga madereva.

..Mgomo wadumu masaa 9..abiria waonja shubiri ya mabomu ya machozi ..Kamanda Kova, Waziri Kabaka ‘Mashujaa’ wamaliza mgomo ‘kiana’ Madereva wawasubiri Aprili 18

Andrew Chale wa Modewji blog

Hali ya mambo katika ‘segere’ la Madereva Nchini la kuweka mgomo baridi la kutoingia barabarani hadi hapo madai yao ya msingi...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yafuta vyuo vitatu

Baraza la Taifa la Elimu la Ufundi (Nacte) limefuta usajili wa vyuo vitatu na kuvishusha hadhi vingine 16 kutokana na kukiuka masharti ya usajili.

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YAANDAA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA TAASISI ZAKE

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa semina ya siku moja kwa watumishi wa serikali na taasisi zake iliyofanyika jana Agosti 29, 2014 mjini Bagamoyo, mkoa wa Pwani. Constatina Martin Meneja Masoko, na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Constatina Martin, akizungumza kwenye semina ya siku moja ya watumishi wa serikali na taasisi zake iliyoandaliwa na Mduko huo mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani, Ijumaa Agosti 29, 2014.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yafuta daraja la 4 kusomea ualimu

Dar es Salaam. Serikali imesema ili kukabiliana na tatizo la kuwa na walimu waliofeli mitihani ya sekondari kuanzia mwaka huu itaanza kuwasomesha bure wanafunzi waliofaulu, wanaotaka kwenda kusomea shahada ya elimu.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yafuta umiliki wa mashamba ya wawekezaji

>Serikali imefuta umiliki wa baadhi ya mashamba yaliyokuwa yanamilikiwa na wawekezaji na kuyakabidhi kwa wananchi.

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yafuta rasmi ada kwa elimu ya sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne na michango yote katika elimu ya msingi

Serikali imeamua kutoa elimu pasipo malipo kwa elimu ya msingi kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne, kuanzia mwaka wa masomo wa 2016 kama ilivyoahidi.  Azma hii ya serikali ni katika kutekeleza sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ina lengo la kuhakikisha kwamba watoto wote wa Tanzania wanapata Elimu bila kikwazo ikiwemo ada au malipo.  Katika kutekeleza maamuzi hayo, ada zote zilizokuwa zikilipwa kwa ajili ya elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne zimefutwa.Pia, waraka wa...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yafuta sherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya uhuru

Serikali imefuta sherehe za maadhimisho ya miaka 54 ya uhuru wa tanganyika na badala yake siku hiyo kwa mwaka huu itatumika kufanya usafi nchini kote kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.

Agizo la serikali la kufuta maadhimisho hayo mwaka huu, limetolewa na rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dakta john pombe magufuli, kupitia katibu mkuu kiongozi, ombeni sefue.

Hii ni mara ya kwanza kwa serikali kufanya hivyo katika siku ya uhuru ambayo huadhimishwa disemba tisa kila mwaka...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yasikia kilio cha wabunge, yafuta misamaha ya kodi

>Waziri ya Fedha, Saada Salum Mkuya jana aliwasilisha Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2014, ambao umefuta misamaha ya kodi katika maeneo yaliyokuwa yakilalamikiwa na watu wa kada mbalimbali nchini.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yageukia madiwani wakorofi

OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imesema Serikali ya Awamu ya Tano haitavumilia madiwani wakaidi na wanaokwamisha watumishi wa umma kwa ajili ya maslahi yao binafsi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani