EXCLUSIVE: Kura za maoni ndani ya CCM Ubunge na Udiwani wapamba moto nchini kote
Baadhi ya Wana CCM wakiwa katika moja ya mikutaano yao wakati wa kujitambulisha kwa wagombea Ubunge na Udiwani walipotembelea na kujinadi kwao hivi karibuni. Pichani ni wana CCM wa Kata ya Magomeni kama wanavyoonekana hivi karibuni (Picha na Maktba ya modewjiblog).
Na Andrew Chale, modewjiblog
Kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) zimeendelea kupamba moto kwa sehemu mbalimbali wana CCM kujitokeza kupiga kura kuchagua kiongozi wao atakaye wafaa ndani ya CCM ambaye baadae...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNYALANDU ASHINDA KURA ZA MAONI UBUNGE CCM SINGIDA KASKAZINI
Nyalandu, ambaye alikitetea nafasi hiyo aliwashinda wagombea wenzake saba waliojitokeza kupambana naye, ambapo aliongoza kwenye kata zote za jimbo hilo na kuwaacha mbali wapinzani wake.
Mwanasiasa huyo kijana na mwenye ushawishi mkubwa, aliongoza katika Kata za Ikhanoda, Msange, Itaja, Mwasauya, Mrama, Maghojoa,...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
KILA LA HERI BINTI YETU ZAHARA KWENYE KURA ZA MAONI ZA UBUNGE WA CCM VIJANA MKOANI TABORA

Na Jeff Msangi wa TBN UghaibuniNyota njema huonekana asubuhi. Bila shaka umewahi kusikia msemo huu. Kwa Zahara Muhidini Issa Michuzi, nyota yake njema ni tunu ya uongozi. Tangu alipoweza kutambua maana na tofauti ya jambo jema na baya, amekuwa kiongozi.Muhtasari wa maisha yake unaonyesha alizaliwa mnano tarehe 2 Septemba mwaka 1987 Nzega mkoani Tabora. Amesomea katika shule zifuatazo;*Shule Ya Msingi Rufita, Tabora- 1995-2001*Shule Ya Sekondari Kazima, Tabora-2002-2005*Shule Ya Sekondari Ya...
10 years ago
Michuzi
News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto 6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri 385Brian Baraka 263

10 years ago
Vijimambo
Msanii maarufu wa Bongo movie, Irene Uwoya ameshinda kura za maoni Ubunge Viti Maalum(vijana)Tabora, kwa tiketi ya CCM

Msanii maarufu wa Bongo movie, Irene Uwoya ameshinda kura za maoni Ubunge Viti Maalum(vijana)Tabora, kwa tiketi ya CCM
-Amepata kura 38 huku mpinzani wake akipata kura 34Tarime Mjini na Tarime Vijijini zoezi la kupiga kura limeahirishwaKumetokea vurugu kwenye mchakato wa kura za maoni CCM hapa Tarime, kwani zimekutwa karatasi za kupigia kura zaidi ya 25000 zikiwa zimeshatikiwa majina ya wagombea wawili MH GAUDENSIA KABAKA (TARIME MJINI) na NYAMBARI NYANGW'INE (TARIME VIJIJINI).Kutokana na...
10 years ago
Habarileo15 Jul
Fomu za ubunge, udiwani CCM leo
BAADA ya mchuano wa kuwania uteuzi wa kugombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM uliomalizika kwa Dk John Magufuli kuibuka mshindi, kwa wiki moja kuanzia leo joto la siasa linatarajiwa kuhamia kwa makada wa chama hicho wanaowania kuteuliwa kuwania ubunge na udiwani kote nchini.
10 years ago
Mwananchi17 Aug
CCM yatambulisha wagombea udiwani, ubunge
10 years ago
Dewji Blog04 Aug
Waliokatwa kuwania ubunge, udiwani CCM Singida wakimbilia Chadema
Katibu wa CCM mkoa wa Singida, Mary Maziku,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya chama hicho kuhamwa na Mwenyekiti wake wa mkoa, Mgana Izumbe Msindai aliyehamia CHADEMA.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
KURA za maoni nafasi ya udiwani,ubunge wa viti maalum na ule wa majimbo CCM mkoani Singida, zimeacha malalamiko na maumivu mengi,ambayo ni pamoja na kuhamwa na wananchama wake wengi akiwemo Mwenyekiti wake wa mkoa, Mgana Izumbe Msindai na...