Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Facebook bandia yaitia Marekani matatani

Mwanamke mmoja ameishtaki serikali ya Marekani baada ya kubuni mtandao bandia wa facebook.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Benki ya China yaitia wasiwasi Marekani

Marekani imeelezea wasiwasi wake kufuatia uamuzi wa Uingereza kuwa nchi ya kwanza Magharibi kujiunga na benki ya China.

 

11 years ago

Habarileo

Matatani kwa kukutwa na noti 13 bandia

POLISI mkoani Mbeya inawashikilia watu sita kwa tuhuma tofauti, ikiwemo kukutwa na mali ya wizi pamoja na noti bandia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, alisema Ahmed Msangi alisema watu hao walikamatwa katika maeneo mawili tofauti jijini hapa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Facebook matatani kwa utafiti

facebook inachunguza kwa kuwafanya watumiaji wake utafiti bila ya wao wenyewe kujua

 

10 years ago

BBCSwahili

M'marekani ahusishwa na fedha bandia UG

Mamlaka ya Marekani imemkamata raia mmoja wa taifa hilo kwa kuongoza kashfa ya kimataifa ya fedha bandia

 

9 years ago

Mwananchi

Mtoto wa kwanza mwenye albinism, awekwa mkono wa bandia Marekani

Kabula Nkarango Masanja (17) mwenye ulemavu wa ngozi, amerejea Tanzania akiwa na mkono wa bandia, baada ya mkono wake kukakatwa kutokana na imani za kishirikina.

 

10 years ago

GPL

UDSM KUIWAKILISHA NCHI KATIKA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA UENDESHAJI KESI BANDIA(MOOT COURT)WASHINGTON, MAREKANI

Msajili wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)Dk Eno Robert akizungumza kabla ya kutangaza matokeo ya mashindano ya uendeshaji wa Mahakama kwa wanafunzi wa Vyuo(Moot Court)yaliyofanyika katika Mahakama hiyo jijini Arusha. Wanafunzi wa Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Saalam(Udsm)kutoka…

 

10 years ago

Michuzi

UDSM KUIWAKILISHA NCHI KATIKA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA UENDESHAJI KESI BANDIA(MOOT COURT)WASHINGTON,MAREKANI

 Msajili wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)Dk Eno Robert akizungumza kabla ya kutangaza matokeo ya mashindano ya uendeshaji wa Mahakama kwa wanafunzi wa Vyuo(Moot Court)yaliyofanyika katika Mahakama hiyo jijini Arusha. Wanafunzi wa Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Saalam(Udsm)kutoka kushoto,Emmanuel Bakilana,Jacob Muheesi,Alicia Atukunda na Adela Msofe wakiwa hawaamini ushindi wao dhidi ya Chuo Kikuu cha Saint Augustine(Saut)Mwanza.Wanafunzi wa Chuo cha Udsm wakipongezana...

 

10 years ago

Vijimambo

UDSM KUIWAKILISHA NCHI KATIKA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA UENDESHAJI KESI BANDIA(MOOT COURT)WASHINGTON,MAREKANI

Msajili wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)Dk Eno Robert akizungumza kabla ya kutangaza matokeo ya mashindano ya uendeshaji wa Mahakama kwa wanafunzi wa Vyuo(Moot Court)yaliyofanyika katika Mahakama hiyo jijini Arusha.Wanafunzi wa Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Saalam(Udsm)kutoka kushoto,Emmanuel Bakilana,Jacob Muheesi,Alicia Atukunda na Adela Msofe wakiwa hawaamini ushindi wao dhidi ya Chuo Kikuu cha Saint Augustine(Saut)Mwanza.Wanafunzi wa Chuo cha Udsm wakipongezana na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Marekani 2020: Facebook yafuta maatangazo ya kampeni ya Trump ‘kwa kuchochea chuki’

Matangazo hayo ni sehemu ya kampeni ya Trump kwa uchaguzi wa Novemba mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani