Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Facebook matatani kwa utafiti

facebook inachunguza kwa kuwafanya watumiaji wake utafiti bila ya wao wenyewe kujua

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Facebook bandia yaitia Marekani matatani

Mwanamke mmoja ameishtaki serikali ya Marekani baada ya kubuni mtandao bandia wa facebook.

 

11 years ago

BBCSwahili

Facebook kuchunguzwa kuhusu utafiti

Tume inayodhibiti taarifa za umma Uingereza inachunguza iwapo Facebook ilivunja kanuni zinazolinda data ya watu binafsi.

 

10 years ago

Bongo5

Facebook kuja na mtandao mpya ‘Facebook at Work’

Facebook inaanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya wafanyakazi kuwasiliana na kushirikiana kuhusiana na masuala ya kazi. Facebook at Work utaonekana vile vile kama Facebook ya kawaida, lakini watumiaji watakuwa na uwezo wa kutengenesha akaunti zao binafsi. Watumiaji watakuwa na uwezo wa kuchat na wenzao, kutengeneza mtandao wa kazi na kushare nyaraka mbalimbali. Mtandao huo ambao […]

 

11 years ago

GPL

MESENJA MATATANI KWA UBAKAJI

Stori: Haruni Sanchawa, Kisarawe
DUNIA inaelekea ukingoni. Mesenja katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Pwani, Mud Yusuph yu matatani kwa madai ya ubakaji wa denti wa darasa la kwanza,10,  (jina linahifadhiwa). Kwa mujibu wa chanzo ndani ya ofisi hiyo, mtuhumiwa huyo (55) alidaiwa kutenda kosa hilo nyumbani kwake Kisarawe, Januari 20 mwaka huu.
Siku ya tukio inadaiwa mtoto huyo alikwenda nyumbani kwa mtumishi huyo...

 

11 years ago

Habarileo

Matatani kwa kukutwa na noti 13 bandia

POLISI mkoani Mbeya inawashikilia watu sita kwa tuhuma tofauti, ikiwemo kukutwa na mali ya wizi pamoja na noti bandia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, alisema Ahmed Msangi alisema watu hao walikamatwa katika maeneo mawili tofauti jijini hapa.

 

11 years ago

GPL

MATATANI KWA KUMWITA RAIS KIAZI

Frank Bwalya. MWANASIASA wa Chama cha upinzani nchini Zambia cha Alliance for a Better Zambia (ABZ), Frank Bwalya, amekamatwa  na polisi na kufunguliwa  mashtaka kwa madai ya kumkashifu rais wa nchi hiyo, Michael Satta, kwa kumwita kiazi. Bwalya anadaiwa kumwita Rais Satta kuwa ni ‘Chumbu Mushololwa’, akimaanisha kiazi, kupitia kituo kimoja cha redio nchini humo. Katika lugha ya Kibemba, maneno hayo yana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenyekiti wa Kijiji matatani kwa uchochezi

MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Karukekere wilayani Bunda, Mara, Jogoro Amoni amekamatwa na polisi kwa kile kinachodaiwa kuchochea ukabila katika kijiji hicho na kusababisha ugomvi uliojeruhi vijana watatu. Amri...

 

10 years ago

Habarileo

Mwinjilisti matatani kwa wahamiaji haramu

Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Geofrey KamwelaJESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Mwinjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Chekereni wilayani Moshi vijiji, Mbazi Manase (36) kwa tuhuma za kuwahifadhi wahamiaji haramu wanne raia wa Ethiopia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Matatani kwa kumfananisha Rais na Kiazi

Kiongozi wa upinzani Zambia, amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya kumchafulia jina Rais Sata baada ya kumfananisha na Viazi vitamu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani