Matatani kwa kumfananisha Rais na Kiazi
Kiongozi wa upinzani Zambia, amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya kumchafulia jina Rais Sata baada ya kumfananisha na Viazi vitamu
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MATATANI KWA KUMWITA RAIS KIAZI
Frank Bwalya. MWANASIASA wa Chama cha upinzani nchini Zambia cha Alliance for a Better Zambia (ABZ), Frank Bwalya, amekamatwa na polisi na kufunguliwa mashtaka kwa madai ya kumkashifu rais wa nchi hiyo, Michael Satta, kwa kumwita kiazi. Bwalya anadaiwa kumwita Rais Satta kuwa ni ‘Chumbu Mushololwa’, akimaanisha kiazi, kupitia kituo kimoja cha redio nchini humo. Katika lugha ya Kibemba, maneno hayo yana...
11 years ago
GPL
MAMA KANUMBA: SIJAONA STAA WA KUMFANANISHA NA MWANANGU
MAMA wa msanii aliyekuwa nguli wa filamu nchini marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amenyanyua kinywa chake na kutema cheche kuwa katika mastaa wote wa filamu Bongo, hajaona hata mmoja wa kumfananisha na mwanaye kimuonekano na hata katika uigizaji wake. Flora Mtegoa. Akipiga stori na Centre Spread mama Kanumba alisema hayo kutokana na mastaa wengi kutamani awape nafasi ya kucheza kama Kanumba katika filamu yake...
11 years ago
BBCSwahili10 Feb
Mwanawe Rais Zuma matatani
Mwanawe Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, Duduzane Zuma huenda akashitakiwa kwa kuendesha vibaya gari na kumuua mwanamke mmoja
10 years ago
BBCSwahili08 Oct
Rais wa Brazil Dilma matatani
Mahakama nchini Brazil imebaini kuwa Rais wa nchi hiyo Dilma Rousseff amekiuka sheria za usimamizi wa akaunti ya bajeti ya mwakajana.
11 years ago
BBCSwahili08 Oct
Kiazi chamea ndani ya kizazi
Kiazi kilipatikana kikimea ndani ya kizazi cha mwili wa mwanamke mmoja baada ya kujaribu kukitumia kama kifaa cha kuzuia mimba.
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Kiazi mbatata kinazuia Mimba?
je ni kweli njia za asili zinaweza kuzuia mimba? je kiazi mbatata? kinaweza kuzuia mimba? jaribio limefanyika nchini Colombia.
11 years ago
GPL
MESENJA MATATANI KWA UBAKAJI
Stori: Haruni Sanchawa, Kisarawe
DUNIA inaelekea ukingoni. Mesenja katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Pwani, Mud Yusuph yu matatani kwa madai ya ubakaji wa denti wa darasa la kwanza,10, (jina linahifadhiwa). Kwa mujibu wa chanzo ndani ya ofisi hiyo, mtuhumiwa huyo (55) alidaiwa kutenda kosa hilo nyumbani kwake Kisarawe, Januari 20 mwaka huu.
Siku ya tukio inadaiwa mtoto huyo alikwenda nyumbani kwa mtumishi huyo...
11 years ago
BBCSwahili04 Jul
Facebook matatani kwa utafiti
facebook inachunguza kwa kuwafanya watumiaji wake utafiti bila ya wao wenyewe kujua
11 years ago
Habarileo04 Mar
Matatani kwa kukutwa na noti 13 bandia
POLISI mkoani Mbeya inawashikilia watu sita kwa tuhuma tofauti, ikiwemo kukutwa na mali ya wizi pamoja na noti bandia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, alisema Ahmed Msangi alisema watu hao walikamatwa katika maeneo mawili tofauti jijini hapa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania