Rais wa Brazil Dilma matatani
Mahakama nchini Brazil imebaini kuwa Rais wa nchi hiyo Dilma Rousseff amekiuka sheria za usimamizi wa akaunti ya bajeti ya mwakajana.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLRAIS DILMA ROUSSEFF KUIONGOZA TENA BRAZIL
Rais wa Brazil kutokachama cha Wafanyakazi, Dilma Rousseff. Dilma Rousseff amejipatia ushindi kwenye duru ya pili ya uchaguzi wa rais nchini Brazil, baada ya kumshinda kwa taabu hasimu wake wa kisiasa  Aecio Neves aliyegombea kwa tiketi ya Brazilian Social Democracy Party (PSDB) kwa asilimia 51.6 ya kura zilizopigwa. Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Brazil imetangaza kuwa, Neves amejipatia asilimia 48.4 ya kura zote...
10 years ago
BBCSwahili27 Oct
Dilma Rousseff ashinda tena Urais Brazil
Rais wa Brazil Dilma Rousseff amechaguliwa tena kuiongoza nchi hiyo, katika uchaguzi uliojaa ushindani mkali.
11 years ago
TheCitizen06 Jun
BRAZIL 2014: Airport trouble for Dilma as World Cup nears
Brazil’s government played down problems with its aging airports, many of which are being renovated even as the World Cup looms from next week.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Nw0Lzj0oCQg/VFDxRxdakKI/AAAAAAAGuF8/1yWIMpilXdw/s72-c/DILMA.jpg)
President Kikwete has sent a congratulatory message to Her Excellency Dilma Rousseff on the occasion of her re-election as President of the Federative Republic of Brazil
![](http://4.bp.blogspot.com/-Nw0Lzj0oCQg/VFDxRxdakKI/AAAAAAAGuF8/1yWIMpilXdw/s1600/DILMA.jpg)
The message reads as follows.
“Her Excellency Dilma Rousseff The President of the Federative Republic of Brazil, Brasilia, BRAZIL.
I have received with great pleasure the news of your re-election to the highest office of your...
11 years ago
BBCSwahili10 Jul
Washukiwa wa kashfa ya tiketi matatani Brazil
Watu 12 wamesimamishwa kazi kutokana na uuzaji haramu wa tiketi za kutazama mechi za kombe la Dunia.
9 years ago
Bongo506 Oct
Missy Elliot matatani kwa kukwepa kutumbuiza Brazil licha ya kulipwa fedha
Rapper Missy Elliott anakabiliwa na kesi ya madai ya $75,000 kwa kudaiwa kukwepa kutokea kwenye TV ya Brazil na kutumbuiza kwenye show mbili. Madai hayo yanadai kuwa mshindi huyo wa tuzo tano za Grammy alilipwa $75,000 kama malipo ya awali mwaka 2012 kutumbuiza jijini Rio na Porto Alegre mwezi November. Kama sehemu ya makubaliano hayo, […]
11 years ago
BBCSwahili10 Feb
Mwanawe Rais Zuma matatani
Mwanawe Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, Duduzane Zuma huenda akashitakiwa kwa kuendesha vibaya gari na kumuua mwanamke mmoja
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOTJRJHFpCojQMt13e-IRVaQjSvS9WNgSGCKb2R8FHxZo4p2f2YDSp88M8nEeT8H01A17sBbqrLbqdvayohsNNou/Frankbwalya.jpg?width=650)
MATATANI KWA KUMWITA RAIS KIAZI
Frank Bwalya. MWANASIASA wa Chama cha upinzani nchini Zambia cha Alliance for a Better Zambia (ABZ), Frank Bwalya, amekamatwa na polisi na kufunguliwa mashtaka kwa madai ya kumkashifu rais wa nchi hiyo, Michael Satta, kwa kumwita kiazi. Bwalya anadaiwa kumwita Rais Satta kuwa ni ‘Chumbu Mushololwa’, akimaanisha kiazi, kupitia kituo kimoja cha redio nchini humo. Katika lugha ya Kibemba, maneno hayo yana...
11 years ago
BBCSwahili07 Jan
Matatani kwa kumfananisha Rais na Kiazi
Kiongozi wa upinzani Zambia, amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya kumchafulia jina Rais Sata baada ya kumfananisha na Viazi vitamu
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania