Missy Elliot matatani kwa kukwepa kutumbuiza Brazil licha ya kulipwa fedha
Rapper Missy Elliott anakabiliwa na kesi ya madai ya $75,000 kwa kudaiwa kukwepa kutokea kwenye TV ya Brazil na kutumbuiza kwenye show mbili. Madai hayo yanadai kuwa mshindi huyo wa tuzo tano za Grammy alilipwa $75,000 kama malipo ya awali mwaka 2012 kutumbuiza jijini Rio na Porto Alegre mwezi November. Kama sehemu ya makubaliano hayo, […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili03 Oct
Messi matatani kwa kukwepa kodi
9 years ago
Bongo517 Dec
Nicki Minaj kutumbuiza Angola licha ya wanaharakati kuipinga show yake
![12327969_468705609983531_2040894811_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12327969_468705609983531_2040894811_n-300x194.jpg)
Nicki Minaj atatumbuiza nchini Angola Jumamosi hii licha ya taasisi ya Human Rights Foundation kuipinga show hiyo.
Minaj amethibitisha show hiyo kwenye Instagram.
“ANGOLA! R u ready for the show?!???! Can’t wait to see u guys! Get your tickets here,” ameandika rapper huyo wa YMCMB.
Baadaye rapper huyo aliandika kwenye Twitter:
“Every tongue that rises up against me in judgement shall be condemned.”
Minaj atatumbuiza kwenye party ya Christmas iliyoandaliwa na kampuni ya simu ya Unitel,...
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Meek Mill matatani, licha ya Nicki Minaj kumtetea Mahakama haijamuacha bure!
Mwaka huu wa 2015 hautoisha poa kwa rapper wa Maybach Music Group, Meek Mill kwani baada ya kusimama Mahakamani kwa zaidi ya wiki mbili inaonekana jitihada zake za kujitetea kwanini hajatii sheria za kifungo chake cha nje hazijairidhisha Mahakama ya Philadelphia. Jana rapper huyo alipanda kizimbani kujitetea kwa mara ya mwisho lakini baada ya saa […]
The post Meek Mill matatani, licha ya Nicki Minaj kumtetea Mahakama haijamuacha bure! appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
BBCSwahili10 Jul
Mapenzi yanoga licha ya kipigo Brazil
9 years ago
BBCSwahili08 Oct
Rais wa Brazil Dilma matatani
11 years ago
BBCSwahili10 Jul
Washukiwa wa kashfa ya tiketi matatani Brazil
11 years ago
Uhuru Newspaper31 Jul
Waliokula fedha za WAZAZI matatani
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
JUMUIA ya Wazazi Tanzania, imeahidi kupeleka timu ya wakaguzi wa hesabu ili kubaini chanzo cha madeni yanayoikabili Shule ya Sekondari ya Leguruki, mkoani hapa.
Madeni hayo yanatokana na na baadhi ya watumishi waliojinufaisha na fedha za shule hiyo na kisha kutoroka na kuiacha ikiwa na madeni lukuki.
Katibu wa Wazazi Mkoa wa Arusha, Daniel Mgaya, alisema tayari makao makuu ya jumuia wameshakubali kutuma timu hiyo baada ya kumalizika kwa sikukuu ya Idd el Fitri....
10 years ago
Habarileo26 Jun
Ofisa Kishapu matatani fedha za maabara
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Rufunga ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani Kishapu kumkamata Ofisa biashara wa wilaya hiyo, Konisaga Mwafongo kwa tuhuma za kuiba Sh milioni 10 za ujenzi wa maabara.
9 years ago
VijimamboMISSY T AMPONGEZA DIAMOND KWA KUMPELEKA DINNER VIRGINIA