Waliokula fedha za WAZAZI matatani
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
JUMUIA ya Wazazi Tanzania, imeahidi kupeleka timu ya wakaguzi wa hesabu ili kubaini chanzo cha madeni yanayoikabili Shule ya Sekondari ya Leguruki, mkoani hapa.
Madeni hayo yanatokana na na baadhi ya watumishi waliojinufaisha na fedha za shule hiyo na kisha kutoroka na kuiacha ikiwa na madeni lukuki.
Katibu wa Wazazi Mkoa wa Arusha, Daniel Mgaya, alisema tayari makao makuu ya jumuia wameshakubali kutuma timu hiyo baada ya kumalizika kwa sikukuu ya Idd el Fitri....
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo11 Dec
RC aagiza waliokula fedha za Tasaf wakamatwe
MKUU wa Mkoa wa Tabora, Ludovick Mwananzila amemwagiza Kamanda wa Polisi Wilaya ya Igunga, Abedi Maige kuwakamata baadhi ya watendaji wa vijiji waliohusika kula fedha za Mradi wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kunusuru kaya masikini Awamu ya Tatu.
10 years ago
BBCSwahili14 Feb
Waliokula fedha za ebola kusakwa S Leone
9 years ago
Mwananchi04 Jan
Wakuu 15 shule za wazazi matatani
9 years ago
BBCSwahili10 Sep
Wazazi watundu matatani Afrika Kusini
10 years ago
Habarileo26 Jun
Ofisa Kishapu matatani fedha za maabara
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Rufunga ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani Kishapu kumkamata Ofisa biashara wa wilaya hiyo, Konisaga Mwafongo kwa tuhuma za kuiba Sh milioni 10 za ujenzi wa maabara.
9 years ago
Bongo506 Oct
Missy Elliot matatani kwa kukwepa kutumbuiza Brazil licha ya kulipwa fedha
9 years ago
Habarileo15 Dec
Adaiwa kutafuna fedha zilizochangwa na wazazi
POLISI wilayani Kahama mkoani Shinyanga inamshikilia Mwenyekiti wa Kamati ya Shule ya Msingi Kilima A, Simon Soka kwa tuhuma za wizi wa Sh milioni 3.6 zilizochangwa na wazazi ili kukarabati jengo na ununuzi wa madawati.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqoZhZqqxuq33m3wpti294p6QdDZ*1YVV41YoWrF5Jr0ngwrTBAga0GQgSfU36mU949voXFwOx1HFqS5w9irC634/zachembe.jpg?width=650)
WOLPER, KUWAJALI WAZAZI SIYO FEDHA
10 years ago
Habarileo05 Nov
Katibu Wazazi mbaroni kwa fedha za Saccos
JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Katibu wa Jumuiya ya Wazazi wilayani ya Handeni mkoani Tanga, Ali Balo kwa tuhuma za upotevu wa zaidi ya Sh milioni 7 za chama cha akiba na mikopo (SACCOS) cha jumuiya hiyo wilayani Siha mkoani hapa.