Kiazi chamea ndani ya kizazi
Kiazi kilipatikana kikimea ndani ya kizazi cha mwili wa mwanamke mmoja baada ya kujaribu kukitumia kama kifaa cha kuzuia mimba.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kpD37olj0H1tCWG3eGUUXf3vlfWmkgIubRtH87wQEHjKAzD386FHOVoQggJX442SwTwMCcRP4*rqP25Jak-gjtyYiRB03wlc/tumbowanawake.jpg?width=650)
TATIZO LA ENDOMETRIOSIS (HITILAFU NDANI YA KIZAZI)
Karibu msomaji katika ukurasa huu ambao umekuwa ukikupa maarifa muhimu ya afya zetu. Leo tutaangalia tatizo la Endometriosis. Neno hili huenda ni mara ya kwanza kulisikia au umekuwa ukilisikia na huna ufahamu nalo vizuri. Kupitia makala haya utapata maarifa muhimu juu ya tatizo hilo. Kwanza huu ni ugonjwa unaowapata wanawake ambao unaambatana na magonjwa ya mfumo wa homoni na mfumo wa kinga ya mwili, ambapo seli na tishu...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0JM2umRWL9fl*M1tY4JKOwwexHpuZF348RcpO21PT5iuYJCiaUIraoKIur-EnF8ODl4WkoCQeVhNUR0WExaWyyZiC9Hu-CWV/l_ac0e0feb7e684d7c87b8f858186e2146.jpg?width=650)
HITILAFU NDANI YA KIZAZI “ENDOMETRIOSIS”-2
Wiki iliyopita nilianza kulizungumzia tatizo hili na leo nitaimalizia ili wiki ijayo nianze mada nyingine. JINSI YA KUJIKINGA NA TATIZO
Kila mwanamke aliye katika umri wa kuzaa anaweza kupatwa na tatizo hili. Mwanamke aliye katika umri wa kuzaa ni kuanzia msichana aliyevunja ungo hadi yule mama aliyefikia ukomo wa hedhi. Kwa hiyo njia za kujinasua usipatwe na tatizo hili ni kuwa na tabia ya kufanya mazoezi ya mwili mara kwa...
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Kiazi mbatata kinazuia Mimba?
je ni kweli njia za asili zinaweza kuzuia mimba? je kiazi mbatata? kinaweza kuzuia mimba? jaribio limefanyika nchini Colombia.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOTJRJHFpCojQMt13e-IRVaQjSvS9WNgSGCKb2R8FHxZo4p2f2YDSp88M8nEeT8H01A17sBbqrLbqdvayohsNNou/Frankbwalya.jpg?width=650)
MATATANI KWA KUMWITA RAIS KIAZI
Frank Bwalya. MWANASIASA wa Chama cha upinzani nchini Zambia cha Alliance for a Better Zambia (ABZ), Frank Bwalya, amekamatwa na polisi na kufunguliwa mashtaka kwa madai ya kumkashifu rais wa nchi hiyo, Michael Satta, kwa kumwita kiazi. Bwalya anadaiwa kumwita Rais Satta kuwa ni ‘Chumbu Mushololwa’, akimaanisha kiazi, kupitia kituo kimoja cha redio nchini humo. Katika lugha ya Kibemba, maneno hayo yana...
11 years ago
BBCSwahili07 Jan
Matatani kwa kumfananisha Rais na Kiazi
Kiongozi wa upinzani Zambia, amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya kumchafulia jina Rais Sata baada ya kumfananisha na Viazi vitamu
10 years ago
Michuzi29 Sep
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JgWHSTt60esgxY3tEeuR12q5nVGGNiClfxpXwB02oz9--ChQLDn3V*oEVwtZVo5hK0cUPl3C7wI53Q2Pu6Q9z-KjBNA3FPGS/KIZAZI.jpg?width=650)
KUVIMBA KIZAZI (ADENOMYOSIS)
Hii ni hali ambayo huendana na kizazi kuvimba au kujaa husababishwa na tabaka la ndani la kizazi kuzama katika tabaka la kati. Hapa ieleweke kwamba, kizazi kina tabaka tatu; tabaka la ndani, tabaka la kati na tabaka la nje. Chembe hai za tabaka la ndani huzama ndani kabisa na husambaa katika sehemu yote ya tabaka hilo la kati na kusababisha hali iitwayo ‘Diffuse Adenomyosis’. Vilevile inaweza kukaa humo na kutengeneza vivimbe...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC2ovMusRkR89KwyHluIEmXRMkMsUiGdFPfaVIjcJLEQ3UK1P6RzUq8uAPiaXIxf0LGbaM9tJ4IlRvJomZKZEVdT/salatamu.jpg?width=650)
DALILI ZA SARATANI YA KIZAZI
Saratani ya kansa huwa na dalili zake za awali ambazo tutakuja kuziona. Tunapozungumzia saratani ya kizazi tunalenga zaidi saratani ya shingo ya uzazi ‘Carcionoma of Cerix’ na saratani ya mfumo wa uzazi au ‘Endometrial Carcinoma. Saratani ya mfuko wa kizazi hushambulia zaidi tabaka la ndani la kizazi ‘Endometrium’ na kusababisha maumivu ya tumbo kwa muda mrefu na hata tumbo kuvimba. Saratani hii...
10 years ago
Vijimambo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania