Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUVIMBA KIZAZI (ADENOMYOSIS)

Hii ni hali ambayo huendana na kizazi kuvimba au kujaa husababishwa na tabaka la ndani la kizazi kuzama katika tabaka la kati. Hapa ieleweke kwamba, kizazi kina tabaka tatu; tabaka la ndani, tabaka la kati na tabaka la nje. Chembe hai za tabaka la ndani huzama ndani kabisa na husambaa katika sehemu yote ya tabaka hilo la kati na kusababisha hali iitwayo ‘Diffuse Adenomyosis’. Vilevile inaweza kukaa humo na kutengeneza vivimbe...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kuvimba kwa tezi za shingo

Ugonjwa huu hufahamika kwa kitaamu kama cervical/neck lympadenopathy . maana yake ni pale uvimbe unapokuwa unazidi sentimita moja, tezi hizi hugawanywa katika makundi matatu, (localized) yaani tezi ambazo zimevimba lakini sehemu moja, tezi zilizosambaa (generalized) sehemu mbalimbali na tezi zitokanazo na ngozi ya shingo (dermatopathic ).

 

10 years ago

Bongo Movies

Mbembe: Wasanii Kuvimba Vichwa Kunaua Filamu

SEIF Mbembe mwigizaji mkongwe anayetamba katika tasnia ya filamu  anachukizwa na tabia za baadhi ya wasanii kufika sehemu za kazi na kutumia muda mwingi kuchezea simu na kuwachelewesha wasanii wengine ambao wanakuwa wapo kwa ajili ya kazi na si ubishoo unaofanywa na wasanii wenye majina makubwa.

“Kinachotukutanisha pale ni kazi sasa mtu mwingine anavyoleta utoto na ni mtu mzima haipendezi, wanadharau sana hasa wakiitwa masupa star vichwa vinavimba sana, lakini bila nidhamu katika kazi ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Msanii wa kizazi kipya

Neno moja huweza kubadilisha maisha ya mtu, hayo yamemkuta msanii wa muziki nchini Tanzania

 

10 years ago

Vijimambo

Kizazi cha mtandao

Kuongea tena hakuna hata wakati tunapokutana!

 

11 years ago

GPL

DALILI ZA SARATANI YA KIZAZI

Saratani ya kansa huwa na dalili zake za awali ambazo tutakuja kuziona. Tunapozungumzia saratani ya kizazi tunalenga zaidi saratani ya shingo ya uzazi ‘Carcionoma of Cerix’ na saratani ya mfumo wa uzazi au ‘Endometrial Carcinoma. Saratani ya mfuko wa kizazi hushambulia zaidi tabaka la ndani la kizazi ‘Endometrium’ na kusababisha maumivu ya tumbo kwa muda mrefu na hata tumbo kuvimba. Saratani hii...

 

10 years ago

BBCSwahili

8 wafariki wakifungwa kizazi India

Wanawake 8 wamefariki na wengine 50 wanaugua baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuwafunga vizazi nchini India.

 

10 years ago

GPL

UVIMBE WA KIZAZI (UTERINE FIBROID)

Fibroid ni uvimbe unaoota ndani ya kizazi cha mwanamke, uvimbe huu upo kama nyama laini, chanzo halisi cha aina hii ya uvimbe bado hakijulikani lakini ni tatizo linalosumbua zaidi wanawake walio katika umri wa kuzaa.
Umri wa kuzaa ni ule kuanzia pale mwanamke anapovunja ungo hadi anapofikia ukomo wa kuzaa. Umri wa kuvunja ungo ni kati ya miaka kumi na mbili hadi kumi na tano, hapa tunategemea mwanamke anaweza kuvunja ungo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Muziki wa kizazi kipya Tanzania

Wanamuziki walio wengi wa kizazi kipya wamejikita katika nyimbo za mapenzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi

SARATANI ya shingo ya kizazi ambayo kitaalamu huitwa Cervix, ni saratani inayoongoza kwa wingi nchini Tanzania na inawaathiri wanawake wenye umri kati ya miaka 25 na 50. Inachangia asilimia 60...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani