Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbembe: Wasanii Kuvimba Vichwa Kunaua Filamu

SEIF Mbembe mwigizaji mkongwe anayetamba katika tasnia ya filamu  anachukizwa na tabia za baadhi ya wasanii kufika sehemu za kazi na kutumia muda mwingi kuchezea simu na kuwachelewesha wasanii wengine ambao wanakuwa wapo kwa ajili ya kazi na si ubishoo unaofanywa na wasanii wenye majina makubwa.

“Kinachotukutanisha pale ni kazi sasa mtu mwingine anavyoleta utoto na ni mtu mzima haipendezi, wanadharau sana hasa wakiitwa masupa star vichwa vinavimba sana, lakini bila nidhamu katika kazi ni...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Bei Mpya za Filamu:Mtitu Aendelea Kuwaponda Baadi ya Wasanii wa Filamu

Mtengenezaji wa filamu mkongwe hapa nchini, William Mtitu ameendela kuwaponda baadhi ya wasanii ambao wanafanya kazi na kampuni ya Steps Entertainment  kwa kukubali kushisha bei ya kazi zao kutoka shilingi 3000/= hadi  shilingi 1,500 /= kwa CD moja kwa rejareja.

Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, Mtitu aliweka picha hiyo hapo juu na kuandika maneno haya;

"Wakati tukiangaika maporini kushuti sinema zenye ubora wasanii wenzetu sijui tuite upumbavu au kutojielewa wanajifungia ndani na wàhindi...

 

11 years ago

Michuzi

Shirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania lawasilisha maoni ya utafiti wa tasnia ya filamu nchini

 Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Joyce Mwakisyala  (katikati )akipokea maoni ya  Utafiti  kuhusu Tasnia ya Filamu Tanzania kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania (TAFF) Bwana Simon Mwakifwamba wa kwanza kulia, kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fissoo  Rais wa Shirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania (TAFF) Bwana Simon Mwakifwamba wa pili kutoka kulia akionyesha maoni ya  Utafiti ...

 

9 years ago

GPL

KUVIMBA KIZAZI (ADENOMYOSIS)

Hii ni hali ambayo huendana na kizazi kuvimba au kujaa husababishwa na tabaka la ndani la kizazi kuzama katika tabaka la kati. Hapa ieleweke kwamba, kizazi kina tabaka tatu; tabaka la ndani, tabaka la kati na tabaka la nje. Chembe hai za tabaka la ndani huzama ndani kabisa na husambaa katika sehemu yote ya tabaka hilo la kati na kusababisha hali iitwayo ‘Diffuse Adenomyosis’. Vilevile inaweza kukaa humo na kutengeneza vivimbe...

 

10 years ago

Bongo Movies

DCB Yaonyesha Njia Kwa Wasanii wa Filamu

DCB Commercial Bank imefungunga njia kwa wasanii wa filamu baada ya kuwashirikisha katika kampeni za kutoa elimu kwa wateja wa kibenki kupitia njia ya filamu, Benki hiyo ambayo toka kuanza kwake imekuwa na mafanikio makubwa imetengeneza filamu maalum inayojulikana kwa jina la DESIRE TO SUCCEED (HAMU YA MAFANIKIO).

Benki hiyo inayofanya vema katika taasisi za Kibenki baada ya kufanya utafiti ni njia ipo rahisi kuifikia jamii waligundua kuwa filamu inapendwa na watu wengi, ndipo wakaona...

 

10 years ago

Bongo5

Wasanii wa filamu 10 waliofanya vizuri mwaka 2014

Bongo5 ikishirikina na wasambazaji na wauzaji wa filamu, inakuletea orodha ya waigizaji 10 waliofanya vizuri mwaka 2014. Salim Ahmed aka Gabo Mwaka jana msanii huyu alitamba na filamu ya ‘Bado Natafuta’ ambayo bado inaendelea kufanya vizuri sokoni. Mwaka huu Gabo pia ameonekana kwenye filamu nyingi ikiwemo ‘Siri Ya Giningi’ iliyofanya vizuri sokoni akishirikiana na Sabby […]

 

11 years ago

Mwananchi

Kuvimba kwa tezi za shingo

Ugonjwa huu hufahamika kwa kitaamu kama cervical/neck lympadenopathy . maana yake ni pale uvimbe unapokuwa unazidi sentimita moja, tezi hizi hugawanywa katika makundi matatu, (localized) yaani tezi ambazo zimevimba lakini sehemu moja, tezi zilizosambaa (generalized) sehemu mbalimbali na tezi zitokanazo na ngozi ya shingo (dermatopathic ).

 

11 years ago

Michuzi

Wasanii wa Filamu nchini kufanya ziara jijini Arusha

Tarehe 28 mwezi wa huu wa pili, supasta JB jacob Steven, Majuto, Irene Uwoya, Mboto, Beka na Irene Paul watakuwepo Arusha kutafuta wasanii chipukizi ambao wataigiza nao kwenye movie mpya...hii ni nafasi yako wewe kijana wa Arusha kuchukua fomu ya kujiunga, fomu zinapatikana Radio 5, Triple A na maduka ya Arusha Bongo shop yaliyopo stendi ndogo ya mabasi au piga namba 0784 959 509 na endelea kuangalia kipindi cha ulimwengu wa filamu kinachoruka kila jumamosi saa 4 asubuhi na marudio saa 5...

 

11 years ago

Michuzi

YUNEDA MKOMBOZI WA WASANII BONGO:Kusambaza filamu ya Why Linah?

KAMPUNI mpya ya usambazaji wa filamu Bongo ya Yuneda Entertainment imeingia katika biashara ya usambazaji baada ya kilio cha wasanii kukosa sehemu za kuuza filamu zao au kusambaziwa Kampuni hiyo inayojali ubora kwa kazi za sinema imeingia nchini kuanza kwa kusambaza filamu ya Why Linah? Filamu hiyo iliyoshirikisha wasanii nyota katika tasnia ya filamu Bongo kama Hemed Suleiman ‘Phd’, Rose Ndauka, Charles Magali ‘Mzee Magali’, pamoja na wasanii wanaofanya vizuri katika tasnia ya filamu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani