Wasanii wa filamu 10 waliofanya vizuri mwaka 2014
Bongo5 ikishirikina na wasambazaji na wauzaji wa filamu, inakuletea orodha ya waigizaji 10 waliofanya vizuri mwaka 2014. Salim Ahmed aka Gabo Mwaka jana msanii huyu alitamba na filamu ya ‘Bado Natafuta’ ambayo bado inaendelea kufanya vizuri sokoni. Mwaka huu Gabo pia ameonekana kwenye filamu nyingi ikiwemo ‘Siri Ya Giningi’ iliyofanya vizuri sokoni akishirikiana na Sabby […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo507 Nov
Filamu 10 za Tanzania zilizofanya vizuri sokoni mwaka 2014
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Pinda atoa tuzo kwawaajiri waliofanya vizuri 2014
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Kazi na Ajira , Gaudencia Kabaka (kulia kwake) wakiwa pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya simu ya VODACOM ambayo iliiibuka mshindi wa jumla katika hafla ya kutoa tuzo kwa waajiri waliofanya vizuri kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Desemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Kazi na Ajira , Gaudencia Kabaka (kulia kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na...
10 years ago
Bongo510 Jan
Video: Models 10 wa video za muziki Tanzania waliofanya vizuri/wanaovutia zaidi 2014/2015
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
JK kukabidhi zawadi wanafunzi waliofanya vizuri
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kutoa zawadi kwa wanafunzi na shule zilizofanya vizuri katika mitihani ya kuhitimu darasa la saba na kidato cha nne kwa mwaka 2013 wakati wa kilele cha...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Wanafunzi waliofanya vizuri kitaifa watoboa siri
WANAFUNZI waliofanya vizuri kitaifa wa darasa la saba mwaka jana ambao wote wanatoka Shule ya Tusiime ya Tabata, Dar es Salaam, wameelezea siri ya mafanikio yao kuwa ni kusoma kwa...
5 years ago
Michuzi
KALIUA YATOA MILIONI 10 WALIMU WALIOFANYA VIZURI KATIKA
NA TIGANYA VINCENT
HALMASHAURI ya Wilaya ya Kaliua imetoa shilingi milioni 10 za motisha na vyeti kwa shule za msingi na sekondari zilizofanya vizuri katika mitihani ya kitaifa.
Kauli hiyo imetolewa jana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua Dkt. John Pima wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo.
Alisema kuwa lengo la kutoa fedha hizo ni kutoa motisha kwa ajili ya kuwahamisha walimu waongeze juhudi ili kuondoa daraja sifuri na daraja la nne.
Dkt. Pima alisema...
9 years ago
MichuziWahitimu wa Chuo Kikuu cha Ardhi waliofanya Vizuri wanyakua Tuzo mbalimbali