Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda atoa tuzo kwawaajiri waliofanya vizuri 2014

PG4A3823

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Kazi na  Ajira , Gaudencia Kabaka  (kulia kwake) wakiwa  pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya simu ya VODACOM ambayo iliiibuka mshindi wa jumla  katika hafla ya kutoa tuzo kwa waajiri waliofanya vizuri kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Desemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A3837

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Kazi na  Ajira , Gaudencia Kabaka  (kulia kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Wasanii wa filamu 10 waliofanya vizuri mwaka 2014

Bongo5 ikishirikina na wasambazaji na wauzaji wa filamu, inakuletea orodha ya waigizaji 10 waliofanya vizuri mwaka 2014. Salim Ahmed aka Gabo Mwaka jana msanii huyu alitamba na filamu ya ‘Bado Natafuta’ ambayo bado inaendelea kufanya vizuri sokoni. Mwaka huu Gabo pia ameonekana kwenye filamu nyingi ikiwemo ‘Siri Ya Giningi’ iliyofanya vizuri sokoni akishirikiana na Sabby […]

 

9 years ago

Michuzi

Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Ardhi waliofanya Vizuri wanyakua Tuzo mbalimbali

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi Prof. Idrisa Mshoro akimkabidhi cheti mmoja wa wanafunzi wa mwaka wa nne aliyefanya vizuri katika masomo yake kwa mwaka 2014/2015  wakati wa leo jijini Dar es salaam. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo anayeshughulikia masuala ya Taaluma wa Chuo Kikuu cha Ardhi Prof. Gabriel Kassenga akizungumza na wanafunzi na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya utoaji wa Tuzo kwa wahitimu wa chuo hicho waliofanya vizuri leo jijini Dar es salaam.  Baadhi ya Wahadhiri wa Chuo...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Models 10 wa video za muziki Tanzania waliofanya vizuri/wanaovutia zaidi 2014/2015

Kwa miaka mingi wanawake wamekuwa wakitumika zaidi kupendezesha video za muziki duniani. Kazi hiyo imewawezesha baadhi ya video queens kuwa mastaa kwa kazi hiyo tu. Hii ni orodha yetu ya warembo 10 waliofanya vizuri zaidi kwenye video za wasanii wa Tanzania kwa mwaka 2014/2015. 1. Maggie Vampire – Wanawake wa Dar – Wakazi Kwa wahudhuriaji […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK kukabidhi zawadi wanafunzi waliofanya vizuri

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kutoa zawadi kwa wanafunzi na shule zilizofanya vizuri katika mitihani ya kuhitimu darasa la saba na kidato cha nne kwa mwaka 2013 wakati wa kilele cha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi waliofanya vizuri kitaifa watoboa siri

WANAFUNZI waliofanya vizuri kitaifa wa darasa la saba mwaka jana ambao wote wanatoka Shule ya Tusiime ya Tabata, Dar es Salaam, wameelezea siri ya mafanikio yao kuwa ni kusoma kwa...

 

5 years ago

Michuzi

KALIUA YATOA MILIONI 10 WALIMU WALIOFANYA VIZURI KATIKA


NA TIGANYA VINCENT
HALMASHAURI ya Wilaya ya Kaliua imetoa shilingi milioni 10 za motisha na vyeti kwa shule za msingi na sekondari zilizofanya vizuri katika mitihani ya kitaifa.

Kauli hiyo imetolewa jana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua Dkt. John Pima wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo.

Alisema kuwa lengo la kutoa fedha hizo ni kutoa motisha kwa ajili ya kuwahamisha walimu waongeze juhudi ili kuondoa daraja sifuri na daraja la nne.

Dkt. Pima alisema...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KITAALUMA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA (MOCU) WAKABIDHIWA ZAWADI

Kaimu Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi ,Prof. Faustine Bee akizungumza wakati wa sherehe ya kukabidhi zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri kitaaluma iliyofanyika katika ukumbi wa Nyerere chuoni hapo.Baadhi ya wanafunzi waliofanya vizuri kitaaluma wakimsilikiliza Kaimu wa Makamu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (hayupo pichani)Pro,Faustine Bee wakati akizungumza katika sherehe hiyo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani