Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KITAALUMA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA (MOCU) WAKABIDHIWA ZAWADI

Kaimu Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi ,Prof. Faustine Bee akizungumza wakati wa sherehe ya kukabidhi zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri kitaaluma iliyofanyika katika ukumbi wa Nyerere chuoni hapo.Baadhi ya wanafunzi waliofanya vizuri kitaaluma wakimsilikiliza Kaimu wa Makamu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (hayupo pichani)Pro,Faustine Bee wakati akizungumza katika sherehe hiyo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) chafanya mahafali ya kwanza

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi  (MoCU) Pius Msekwa akitunuku Shahada ,Stashahada na Astashahada kwa wahitimu wa Chuo hicho wakati wa mahafali ya kwanza ya chuo hicho. Wahitimu wa kozi mbalimbali waliohitimu katika Chuo Kikuu cha Ushirika mjini Moshi,(MoCU) Miongoni mwa wageni waalikwa alikuwepo pia Mbunge wa jimbo la Moshi mjini, Jafary Michael. Makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika (MoCU) Profesa Faustine Bee akizungumza wakati wa sherehe za mahafali ya kwanza ya Chuo hicho...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI AONGOZA MAHAFALI YA TISA YA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA (MOCU)

Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Dkt Richard Sezibera akizungumza wakati wa mahafali ya tisa ya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU)Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) AL-Noor Kassum akiwatunuku wanafunzi wa ngazi mbalimbali waliohitimu masomo yao Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU)
Wakunzi na baadhi ya watumishi wa kada nyingine katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi(MOCU) wakiwa katika mahafali ya tisa chuoni hapo yaliyofanyika katika uwanja wa Chuo...

 

9 years ago

Michuzi

Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Ardhi waliofanya Vizuri wanyakua Tuzo mbalimbali

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi Prof. Idrisa Mshoro akimkabidhi cheti mmoja wa wanafunzi wa mwaka wa nne aliyefanya vizuri katika masomo yake kwa mwaka 2014/2015  wakati wa leo jijini Dar es salaam. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo anayeshughulikia masuala ya Taaluma wa Chuo Kikuu cha Ardhi Prof. Gabriel Kassenga akizungumza na wanafunzi na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya utoaji wa Tuzo kwa wahitimu wa chuo hicho waliofanya vizuri leo jijini Dar es salaam.  Baadhi ya Wahadhiri wa Chuo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK kukabidhi zawadi wanafunzi waliofanya vizuri

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kutoa zawadi kwa wanafunzi na shule zilizofanya vizuri katika mitihani ya kuhitimu darasa la saba na kidato cha nne kwa mwaka 2013 wakati wa kilele cha...

 

10 years ago

Habarileo

Waliofanya vyema kidato cha 6 wakabidhiwa zawadi

SHIRIKA lisilo la Kiserikali la Piniel Medical Mission la Dar es Salaam limewapa fedha wanafunzi wanne wa shule ya sekondari Kilangalanga ambao wamefaulu daraja la kwanza kwenye mtihani wa Taifa wa kidato cha sita.

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA KWANZA YA CHO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI (MoCU)

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) Pius Msekwa akitunuku Shahada, Stashahada na Astashahada kwa wahitimu wa Chuo hicho wakati wa mahafali ya kwanza ya chuo hicho.  Wahitimu wa kozi mbalimbali waliohitimu katika Chuo Kikuu cha Ushirika mjini Moshi,(MoCU).Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kushoto) akiwa na mmoja wa wakufunzi katika chuo hicho Dkt Kaleshu, wakipozi katika picha ya pamoja na Mbunge wa Viti maalum CCM ,Sharry Raymond.Picha zaote na  Dixon Busagaga wa Globu ya...

 

10 years ago

GPL

CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI

Baadhi ya wahadhiri wa MoCU (MOSHI CO-OPETATIVE UNIVERSITY) wakiwa kwenye picha ya pamoja.. Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Mhe. Philemon Luhanjo (wa nne kulia waliokaa ) akiwa katika picha ya wajumbe wa bodi na wahadhiri wa chuo hicho. CHUO Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCOBS), kimekuwa chuo kikuu rasmi ambapo kwa sasa kitaitwa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (MoCU). Taarifa hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi waliofanya vizuri kitaifa watoboa siri

WANAFUNZI waliofanya vizuri kitaifa wa darasa la saba mwaka jana ambao wote wanatoka Shule ya Tusiime ya Tabata, Dar es Salaam, wameelezea siri ya mafanikio yao kuwa ni kusoma kwa...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA APOKEA ZAWADI KUTOKA CHUO KIKUU CHA GENT

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akipokea zawadi kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Gent Prof. PAul Cauwenberge baada ya kuhutubia Wanachuo wa Kimataifa wanaosoma Chuo Kikuu cha Ghent.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani