Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI KAMALA APOKEA ZAWADI KUTOKA CHUO KIKUU CHA GENT

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akipokea zawadi kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Gent Prof. PAul Cauwenberge baada ya kuhutubia Wanachuo wa Kimataifa wanaosoma Chuo Kikuu cha Ghent.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA APOKEA ZAWADI TOKA KWA MWENYEKITI WA JIJI LA Turnhout, Ubelgiji

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Jiji la Turnhout la Ubelgiji Mhe. Peter Segers baada kufungua rasmi Maonesho Wasanii wa kuchora wa nchi mbalimbali wakiwemo wa Tanzania wanaojulikana kwa jina la Tinga Tinga. Maonesho hayo yataendelea hadi mwishoni mwa mwezi huu.

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KITAALUMA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA (MOCU) WAKABIDHIWA ZAWADI

Kaimu Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi ,Prof. Faustine Bee akizungumza wakati wa sherehe ya kukabidhi zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri kitaaluma iliyofanyika katika ukumbi wa Nyerere chuoni hapo.Baadhi ya wanafunzi waliofanya vizuri kitaaluma wakimsilikiliza Kaimu wa Makamu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (hayupo pichani)Pro,Faustine Bee wakati akizungumza katika sherehe hiyo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Membe azungumza na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha St. Thomas cha Marekani

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na kiongozi wa wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha St. Thomas, Fr. Jean-Piere Bongilo kilichopo  Minessota nchini Marekani waliofika Wizarani kumsalimia. Chuo cha St. Thomas kilimtunuku Shahada ya Uzamivu wa Heshima, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mwaka 2006.Baadhi ya Wanafunzi hao wakimsikiliza Mhe. Membe alipozungumza nao.Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika...

 

10 years ago

GPL

CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI

Baadhi ya wahadhiri wa MoCU (MOSHI CO-OPETATIVE UNIVERSITY) wakiwa kwenye picha ya pamoja.. Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Mhe. Philemon Luhanjo (wa nne kulia waliokaa ) akiwa katika picha ya wajumbe wa bodi na wahadhiri wa chuo hicho. CHUO Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCOBS), kimekuwa chuo kikuu rasmi ambapo kwa sasa kitaitwa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (MoCU). Taarifa hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA NELSON MANDELA KUNUFAIKA NA USHIRIKIANO KUTOKA CHINA

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika cha Nelson Mandela(NM-AIST),Profesa Burton Mwamila(kushoto)na Makamu Mkuu wa Chuo cha Kikuu cha East China Normal University(ECNU)Profesa Sun Zhenrong wakisaini makubaliano ya vyuo hivyo viwili kushirikiana katika nyanja za utafiti,mafunzo na kifedha leo mkoani Arusha. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Afrika cha Nelson Mandela(NM-AIST)kilichopo ,Profesa Burton Mwamila(kushoto)na Makamu Mkuu wa Chuo cha...

 

9 years ago

Michuzi

Watanzania wahitimu shahada ya uzamili kutoka taasisi ya kimataifa international institute of social studies ya chuo kikuu cha Erasmus cha nchini uholanzi.

Watanzania wahitimu shahada ya uzamili kutoka  taasisi ya kimataifa International Institute of Social Studies ya chuo kikuu cha Erasmus cha nchini uholanzi.Kutoka kushoto ni Mama  Agnes mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini uholanzi,   Shamy Chamicha mhitimu shahada ya uzamili ya uchumi, Balozi wa tz nchini uholanzi mh.Irene kasyanjo, Ruth John  mhitimu shahada ya uzamili ya uhakiki wa chakula na mazingira, Jackson Bulili mhitimu shahada ya uzamili Uchumi na Rector wa taasisi hiyo mhe. Inge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani