Benki ya China yaitia wasiwasi Marekani
Marekani imeelezea wasiwasi wake kufuatia uamuzi wa Uingereza kuwa nchi ya kwanza Magharibi kujiunga na benki ya China.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Oct
Facebook bandia yaitia Marekani matatani
Mwanamke mmoja ameishtaki serikali ya Marekani baada ya kubuni mtandao bandia wa facebook.
5 years ago
CCM Blog31 May
CHINA YALAANI KITENDO CHA MAREKANI KUKATAA KUTOA VIBALI VYA KUINGIA NCHI HIYO WANAFUNZI WA CHINA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amelaani kitendo cha Marekani kukataa kutoa vibali vya kuingia wanafunzi wa China katika nchi hiyo.Zhao Lijian amesema kuwa vitisho vya serikali ya Marekani dhidi ya wanafunzi wa China sambamba na kukataa kuwapatia viza, ni kinyume na uwazi na uhuru ambao Washington imekuwa ikidai kuutekeleza. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameitahadharisha Marekani isijaribu kukiuka kwa namna yoyote haki za wanafunzi wa China, kwa kuwa kitendo hicho...
10 years ago
BBCSwahili06 Feb
Benki ya Marekani yafunga huduma Somalia
Benki moja nchini Marekani inayoshughulikia asilimia themanini ya fedha zinazotumwa nchini Somalia itafunga huduma yake Ijumaa
11 years ago
BBCSwahili04 Aug
Je Marekani inahofia China Afrika?
Rais Barack Obama wa Marekani, wiki hii anatarajiwa kukutana na viongozi wa nchi zipatazo 50 za Afrika, mjini Washngton.
10 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YALETA UFANISI KATI YA WAFANYABIASHARA, WAWEKEZAJI WA CHINA NA TANZANIA
Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB anayeshughulika na huduma ya China Deski, Ibrahim Masahi (kulia), akitoa ufafanuzi kuhusu huduma maalum za kibenki kwa ajili ya kusaidia wafanyabiashara na wawekezaji wa China na Tanzania, wakati wa maonyesho ya bidhaa za China yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wateja wakisoma vipeperushi vyenye taarifa muhimu za Benki ya CRDB kuhusu huduma maalum ya China Deski. Baadhi ya watu waliofika katika banda la CRDB wakati wa maonyesho ya bidhaa za...
9 years ago
BBCSwahili22 Nov
China:Marekani inachochea mataifa ya Asia
Uchina imeishutumu Marekani kuwa inafanya uchochezi wa kisiasa, kwa kupiga doria katika eneo linalozozaniwa la bahari ya kusini ya Uchina
10 years ago
BBCSwahili31 May
China yaiambia Marekani itaendelea kujenga
Naibu Kamanda wa jeshi la wanamaji la China amemuambia waziri wa usalama wa Marekani kuwa China haitasitisha mradi wake Baharini
10 years ago
BBCSwahili12 Nov
Marekani na China kupunguza hewa chafu
Marekani na China zimeweka wazi nia yao ya kupunguza kiasi cha hewa chafu inayozalishwa na nchi hizo
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Azam yaitia presha Yanga
>Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm amesema hatma ya ubingwa kwa timu yake itajulikana kesho wakati watakapowakabili vinara wa Ligi Kuu, Azam kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania